Dagaa fresh kutoka Mwanza

Dagaa fresh kutoka Mwanza

Joined
Dec 4, 2017
Posts
6
Reaction score
0
Habari. Tunauza dagaa kutoka Mwanza, hawana mchanga kabisa na wamekaangwa wanapatikana wakiwa tayari PACKED kwa bei ya jumla na rejareja. Jumla tunaanzia Package TANO. Contact Us at _0656781601_ free delivery.Thanks
20171215_095638.jpg

20171215_095009.jpg
 
Weka basi taarifa za kujitosheleza mfano mnapatikana mkoa gani,bei yake ikoje nk nk nk
 
Hizo package ndogo jumla 800 rejareja1000
Package kubwa jumla 1600 rejareja 2000
Na ndoo kubwa ni sh.55000
Tunatuma popote Dar es salaam na mikoani pia tunatuma.
 
Back
Top Bottom