minja mgumu
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 206
- 314
Ndugu zangu heshima kwenu jukwaa lenye madini mbali mbali ya elimu,anaefahamu jinsi ya kupata hii mashine ya kusaga na kuhifadhi tangawizi ktk pakti na zenye lebo kisha kuuza nje ya nchi ili kuongeza thamani ya biashara hii ili tujiajiri.kwani lengo tufike sehemu ambayo tunaitazama,pia kalibuni tuchanganye mawazo yetu tujenge kitu au mwenye upana wa jambo hili tutashukuru sna.kama nimekosea sehem kunirekebisha ahsanteni sna kwa ushirikiano wenu