Natafuta Fundi wa CCTV camera

forex

Senior Member
Jun 15, 2017
198
250
Kuna rafiki yangu anaishi maeneo ya Kibaha anatafuta Fundi wa CCTV camera wa eneo la Kibaha! Shida ni kufunga camera hizo nyumbani kwake! Kama Fundi huyo yupo ajitokeze akamate huo mpunga!
 
Jpanga

Member
Jul 4, 2017
11
45
Kuna rafiki yangu anaishi maeneo ya Kibaha anatafuta Fundi wa CCTV camera wa eneo la Kibaha! Shida ni kufunga camera hizo nyumbani kwake! Kama Fundi huyo yupo ajitokeze akamate huo mpunga!
cheki 0762189344
 
Mkwaruu

JF-Expert Member
Mar 13, 2017
2,942
2,000
Kuna rafiki yangu anaishi maeneo ya Kibaha anatafuta Fundi wa CCTV camera wa eneo la Kibaha! Shida ni kufunga camera hizo nyumbani kwake! Kama Fundi huyo yupo ajitokeze akamate huo mpunga!
Mku umeshafanikisha Kama bado nicheki
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom