Usafirishaji mizigo

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
8,157
13,379
Habari zenu wote?

Tunasafirisha mizigo ya aina mbalimbali kutoka Arusha,Moshi hadi Tanga.
Tuna lori zetu ambazo huwa zinakuja kuchukua sementi Tanga na hivyo kuja zikiwa tupu na kurudi na mzigo wa sement.
Ikiwa una hamisha vitu/vyombo au una mzigo wa biashara,tafadhali tuwasiiane PM.
 
Nahitaji kusafirisha kuku 250 kutoka arusha kwenda Morogoro naombeni msaada wapi naweza kupata wasafirishaji..ni kuku wa kubwa sio vifaranga
 
Back
Top Bottom