Habari. Najihusisha na biashara ya dagaa wa mwanza natafuta masoko katika mikoa ya kusini.
Ambaye atataka kununua au anamjua mfanyabiashara atakayehitaji aje PM tuyapange
Contact me now for effective design and desirable plus complicated plans.
Tunafika site kwako tunachukua vipimo..halafu tunafanya kazi
Karibu sana
0654919121
0758919121
0622060797
0683928358...
Naitaji pickup single cabin ya mojawapo kati ya hizi zifuatazo
1. Nissan hardbody,
2. Toyota hilux
3. Toyota Landcruiser
Sifa.
- iwe kwenye hali nzuri
- iwe na four wheels drive(4wd)
Ofa.
-...
Wanabodi, this for serious Car sellers.
Nataka kununua gari, nina 4.5m/=.
Specs :-
Cc isizidi 2500
Milango 4
Petroli
Boot iwe kubwa
Zima halihitaji marekebisho..
Lisiwe limegongwa au kuchoka sana...
Habari,Mashine aina hiyo hapo chini kwenye picha inahitajika,kwa yoyote anaeiuza awasiliane nami kupitia namba hii 071-667-9229 ili biashara ifanyike.Napatikana Dar es salaam.
Ndugu Mteja,
Ni matumaini yangu U mzima wa afya,
Je unanyumba inayohtaji marekebisho au Boma la nyumba ambalo wapenda liwe nyumba bora kabisa au unatazamia kujenga upya nyumba bora na ya kisasa...
sikuhz kuna kampuni nyingi dar es salaam zinazojihusisha na mikopo tajwa hapo juu.ni nini kimefichika kwenye hizi kampuni.je,zimesajiliwa kwa shughuli hizo au ni utapeli mtupu wabongo wanalizwa?
Habari wakuu,
Nina Fremu nauza kama unataka kuweka screen kwenye gari yako Altezza/Lexus is200/300.
Bei ni 70,000 tu
Pia nauza OBD2 Bluetooth diagnostic scanner kwa bei ya 30,000 (Inakuja na...
Kiwanja chenye ukubwa wa ekari 5.2 kinauzwa Dodoma mkabala na NHC Iyumbu Estate Centre ambapo rais alizindua mradi wa Iyumbu Estate Center na kununua nyumba 60. Mradi wa NHC ni nyumba 300. Eneo...
Je wewe ni mjasiliamali ungananami upate ujuzi ninafundisha kutengeneza tomato wine,kutengeneza gam ,chili juice na kukausha mboga kwa madray ya kisasa kutengeneza batiki mbalimbali nimesapewa...
Kama kichwa kinavyojielezea hapo juu nauza line za uwakala MPESA na Tigo Pesa line zinafanya kazi kabisa nikikupa wewe ni kuanza kazi tu na nimezitumia karibia miaka miwili na sijawahi pata tatizo...
Tunambolea aina ya samadi mbolea za kisas kam DAP,UREA,CAN,MINJIGU,S.A tunambegu nzuri za kisas za mahind ,nyanya na mbogamboga na tunatoa mafunzo ya ujasiliamali kutengeneza wine ya nyanya TOMATO...
Habari zenu ndugu zangu
Napenda kuwajuza kwamba kama unatatizo lolote katika gari yako linalohusiana na Umeme kama vile, taa ya check engine, gari kukosa Nguvu pia kama unataka kufungiwa sound ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.