Habari za muda huu.
Ni mwanachuo wa UDSM
Nimekwama kukamilisha Ada na semester ndio inakaribia kuisha.
Nina 300,000/= halafu natakiwa kulipia 597,400 kwa semester ya kwanza,ijumaa nina test tatu naona dalili za kusumbuliwa sana wakati wa kuingia kwenye test zote.
Naomba mkopo nikipata nitalipa,sina dhamana zaidi ya vyeti vyangu.
Simu hii haina thamani ya kuweza kunipatia kiasi kilichosalia 297,400/=
Sawa endelea kuulizia jaba.Lile jaba ushauza..?
Kwani nimekosea..Sawa endelea kuulizia jaba.
Ndugu wana Jf kwa yeyote atakaye guswa naomba anisaidie katika hili..
Kwani nimekosea..
Sawa endelea kuulizia jaba.
Ndugu wana Jf kwa yeyote atakaye guswa naomba anisaidie katika hili..
Habari za muda huu.
Ni mwanachuo wa UDSM
Nimekwama kukamilisha Ada.