Serikali imeahidi kutunga sheria kodi za nyumba zilipwe kwa kila mwezi badala ya mkupuo wa miezi 6 au mwaka. Hili ni jambo jema kwani litapunguza mzigo kwa wanyonge. Lakini pamoja na suala la kodi...
Wadau,
Natafuta UNLOCKED 4G LTE Mobile WiFi Hotspot Router , inaweza ikawa brand yoyote , Huawei, ZTE , TP-Link , haijalishi kikubwa bei iwe nafuu na ifanye kazi vizuri.
Kama unayo naomba...
Kwanza kabisa uwe na simu 2.
Ili kuweza kufanya survey ofisini kwako, nyumbani ama popote pale kwa kufuatilia shughuli zako ndani ya simu yako inakupasa kuset CCTV Camera katika eneo husika, ili...
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema.
Kwa wenye mahitaji ya uyoga mkavu na mbichi tutakufikishia popote ulipo (Dar pekee) kwa bei nafuu kabisa
Pia tunatoa mafunzo ya uzarishaji uyoga...
Wadau natafuta viwanja vya bei rahis mahali popote pale hata ikiwa vijijin ndani ndani haina shida,,,,. Anayejua wapi naweza kupata anisaidie
Tena nataka vile vya heka moja kwa 50,000 kama vipo...
Kama heading inavyosema.
.
samsung galaxy note 4 ina tatizo la display yaan ya kubadilisha,inaonesha giza tu tho haina crack.
.
HISTORY YA SIMU
-km Thread zangu zngne znavyoonesha hua nmejkita...
Awali ya yote sikutegemea kama kuna watu wana roho nzuri kiasi hiki
Member huyu amejitolea eneo zaidi ya heka 10 huko magonza tena bure kwa ajili ya watu kulima hvyo basi naomba tuungane vijana 7...
Faida za kutumia seedling tray ni kama zifuatazo
1. Huzipa nafasi ya kutosha Mbegu ambayo itapelekea Miche kuwa na ubora
2.Ni rahisi kuhudumia ukiwa umepanda kwa tray
3.Tray zina vitundu kwa...
Kwanini uingie gharama zaid Kwa ubora uliopo chini ya kiwango katika umwagaji zege? Funguka Sasa Recon wanakuletea HUDUMA pekee ya umwagaji zege Kwa truck mixer ni rahis na nafuu kwa CBM 1 (Sawa...
Habari wana jf mimi ni Mtumish wa umma nahitaj Gari dogo mfano IST,RAUM,PREMIO ,ALLION Nk.
Kama kuna mwenye Gari tajwa hapo juu Na angependa kuniuzia Gari lake kwa installment ambapo nitakua...
Mimi ni kijana niliyemaliza chuo ngazi ya certificate ya fitter mechanics hadi sasa mwaka wa tatu sijabahatika kupata kazi. Kwa mtu yeyote mwenye nafasi ya kunisahidia anisahidie. Shukrani...
Natoa elimu kwa wajasili amali [emoji117]kutengenez mvinyo wanyany or tomato wine[emoji117]nafundish kutengeneza batki[emoji117]nafundish kutegeneza jam [emoji117]kutengeneza...
Kupitia Jukwaa la Vijana kutoka kampuni ya mawasiliano yenye kasi zaidi nchini Tanzania, tunawaletea OFA kabambe ya #Pinduapindua yenye punguzo la mpaka asilimia 50 katika migahawa, saluni, hoteli...
Nauza laptop Hp bei chee kabisa..
Laki na nusu tyuu..
Haddisk yake ni 300gb
Ram 2gb
Tatizo ni battery halikai na chaji bhac..
Kingine kila kitu kipo sawa..
Mawasiliano 0716026555
0685 436 107
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.