Contact me now for effective design and desirable plus complicated plans.
Tunafika site kwako tunachukua vipimo..halafu tunafanya kazi
Karibu sana
0654919121
0758919121
0622060797
0683928358...
Tumetengeneza App kwa ajili ya Watoto inayoitwa WatotoApp, ambayo kupitia hiyo watoto watakuwa wanapata hadithi.
Kwa sasa, hadithi zilizopo ni kwa ajili ya Watoto wa miaka 8 - 12.
Unaweza...
Friji, air conditioner na freezer kuna namna yake ya matumizi na utunzaji ili vidumu. Hapa tuko kikazi na kitaaluma zaidi ili uokoe matumizi ya umeme na kudumisha kifss chako
Nina m 7 yangu hapa jaman naombeni mwenye gari za kike namba D anione hapa tufanye biashara.
Nipo Dsm. njoo in box tuyajenge
Huwa sipendi sana madalali 3 mpka 4 kwa gari moja.
Wansugu nahitaji fundi simu mwenye utaalamu na simu na awe na taaluma hyo. Nina simu zangu zinahitaji matengenezo na ushauri wa kawaida zipo 5 kama ifuatavyo:
●Iphone 6+
●samsung edge 6+
●phontom...
Salaam..
Yeyote ambae anauza kiti cha ofisini used/kipya, basi nipe picha yake na bei yake
Nipo dar nimeweka picha za sample, nahitaji kiti cha namna hii bei isiwe juu sana.
kuna kiwanja kinauzwa kipo opposite na bahari beach hotel maeneo ya bahari beach dsm
bei yake ni 1.6 billion
ukileta mteja unapewa m mia moja yako
tafuteni mteja mkuu
kiwanja kipo opposite...
Habari wa ndugu,
Nahitaji pikipiki aina ya tvs used iliyo katika hali njema, iwe in good conditions, low mileage, iliyokuwa ikitumika for personal use au office use sio bodaboda.
Aliyonayo ni pm...
Nauza laptop yangu anaehitaji ani pm tufanye biashara
Specifications:
Hp probook
Procesor intel core i7
RAM 6GB
Hard drive 1T
Finger print
HD Webcam
4 USB port
1 HDMI port
1 VGA port
DVD ROM...
*Mwanamke wa Kiislam na yeyote unaependa vazi la Hijab,karibu ujumuike na wenzako siku ya "PINK HIJAB DAY".
*Tupia vazi la Pink,Peach ama Red kuendana na siku yenyewe halafu tukutane DIAMOND...
Naomba sana kuelemishwa juu athari ya kupiga ng'ombe chapa. Naona ni agizo hili limetolewa na Mamlaka ya juu kuwa kila mfugaji apige ng'ombe wake wote chapa. Binafsi kwa uelewa wangu ng'ombe...
Nianze Kwa kusema Kilimo ni Biashara kama zilivyobiashara nyingine, na hivyo Kilimo kinahitaji utaalamu kwani agriculture is purely science before we put business we must start with science ili...
Habari wapendwa!
Karibuni mashuka kutoka Pakistan. Set moja inakua na shuka mbili na foronya nne. Shuka hizi ni kingsize, 100% cotton, hayachuji wala kuweka vipele. Yanapatikana kwa rangi na maua...
Nilikuwa nataka nitengeneze website ya kutangaza bidhaa kama alibaba na zingine lakini napata changamoto ya kupata sasa majina yote ambayo nataka nitumie yameshatumika naomba mnisaidie nipate jina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.