Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kuna mashine ya Maxmalipo inauzwa iko shinyanga bei Tshs 350K. Imetumika muda wa mwaka mmoja. Iko katika hali nzuri. Mwenye uhitaji ni PM
0 Reactions
4 Replies
901 Views
Karanga safi zinauzwa kwa bei Poa wanajamii forum, kwa yeyote mwenye uhitaji tuwasiliane 0789 131 324. Asanteni sana.
0 Reactions
6 Replies
935 Views
Unapata app kwa ajili ya blog ya WordPress Puss notification Admob ads Bei tzs 50,000/= 0719658086
0 Reactions
2 Replies
786 Views
Jipatie domain name ya .com kwa bei ya tzs 15,000 kwa mwaka. Mawasiliano 0719658086
0 Reactions
1 Replies
751 Views
Wengi hulipa mainjinia pesa nyiiingii saaana na kushindwa kumaliza ujenzi wao salama kutokan na labour charge kuwa juuuu saana. Wasiliana nami 0753093869 popote nafika. Sasa utaweza kujenga...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Shamba lipo magoza. Ukifika njia panda mvuti dar es salaam unaelekea upande wa kushoto utafika hadi shamba la mageleza magoza. Ukitoka magoza unatafuta mtaa wa mji mpya. Shamba linauzwa milioni...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
HP PAVILION core i3 RAM 4gb Hdd 500gb processor 2.4 Ghz PRICE 570k HP PAVILION CORE i5 Ram 4gb Hdd 500 gb Processor 2.4 ghz Price 680k Dell inspiron core i7 pia zipo TEL 0719 551 375 PC...
1 Reactions
0 Replies
412 Views
Habari, Husika na kichwa cha habari hapo juu.Nahitaji kioo cha hiyo simu kwa gharama ya 50,000. Kama unacho naomba unipm na namba yako
0 Reactions
0 Replies
965 Views
Wale wa halotel naomba unitumie text namba 0620416327 niwaunganishe na jamaa anaunga bundle kwa elfu kumi unakula gb 20 kwa mwezi,binafsi ameniunga na malipo nimetuma mpesa yani akiwa anaunga na...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Naulizia wapi naweza pata SAFE au strong box ndogo za kg 20 kwa matumizi binafsi? na je zinatumia umeme au nishati gani? Asanteni
0 Reactions
1 Replies
907 Views
Salute, Nilileta uzi wa kuuza kiwanja, baadaye nikashangaa uzi umefutwa. Kama unalipia tangazo mngenambia nilipie tu. Uzi wangu wa tatu mmefuta jana. Au mnabifu na Mimi mods?
1 Reactions
6 Replies
749 Views
Habari zenu wana jamvi, Kwa anayehitaji kiwanja chenye ukubwa wa ekari moja kwa ajili ya ujenzi wa makazi na biashara ani PM! Kiwanja kipo sehemu nzuri tu sio mbali na mjini na bei yake pia ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nauza tablet aina hapo juu kwa anaehitaji nicheki 0764634970 bei 4000000 nipo magomeni mwisho kesho saa 5 asubuhi ni shida ya ghafla.
0 Reactions
4 Replies
845 Views
Salaam wakuu, Mimi niko mikoani nahitaji gari tajwa hapo juu.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wanajukwaa habari zenu natafuta mtu yeyote anayeuza mashine ya mkono ya kukamua miwa used iliyo kwenye kiwango kizuri nipo Dar es salaam.
0 Reactions
0 Replies
664 Views
Natafuta pikipiki aina ya sunlg Budget 1M Niko Mwanza Mawasiliano 0742613347
0 Reactions
0 Replies
729 Views
samsung galaxy note 4 used inauzwa 390,000/= Tsh. baadhi ya specification: RAM 3GB Internal 32gb network 4g rangi nyeupe good condition haina crack yoyote kwa anayehitaji ni pm au piga 0713280314...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Specifications RAM 4GB HDD 500 GB System type :64-bt operating system,x64-based processor Intel( R) celeron (R) Screen 15 inch Price 550,000 0758728258 N.B Haina tatizo lolote
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ninaa wazo la kutafuta gari hiyo nini Changamoto zake kwenye matumizi ya mafuta Na nini kinasumbua mara kwa mara na gharama ya hiyo/hizo spea mwenye uzoefu plz.
0 Reactions
0 Replies
935 Views
Tangazo... Kutokana na uwelewa mdogo kuhusu bima na jinsi gani unaweza kata au kupata bima yako halali kutoka shirika la bima taifa (NIC) Wasiliana na wakala wa bima ya taifa Au pita katika...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Back
Top Bottom