Ni kuwa makini zipo nyingi tu za ukweli wananunua Mashamba wanakupeleka site unaona viwanja unachagua kisha unalipa kwa cash,kidogo kidogo,au Mkopo kupitia bank ukimaliza kulipia uwanja unapewa hati.sikuhz kuna kampuni nyingi dar es salaam zinazojihusisha na mikopo tajwa hapo juu.ni nini kimefichika kwenye hizi kampuni.je,zimesajiliwa kwa shughuli hizo au ni utapeli mtupu wabongo wanalizwa?