Ujenzi imara na dhabiti!

Ujenzi imara na dhabiti!

Bati

Member
Joined
Dec 17, 2016
Posts
26
Reaction score
48
Ndugu Mteja,

Ni matumaini yangu U mzima wa afya,

Je unanyumba inayohtaji marekebisho au Boma la nyumba ambalo wapenda liwe nyumba bora kabisa au unatazamia kujenga upya nyumba bora na ya kisasa?

Sisi ni Mafundi bora na tunao aminika tumejikita katika marekebisho na kuibadilisha nyumba kuwa mpya na ya kisasa kama mteja wetu anavyohitaji iwe na pia tunajenga nyumba mpya kama unahitaji iwe hivo!

tuna nyenzo zote za kazi kama wajenzi na tunafanya kazi zote za nyumba za makazi na za kibiashara

Tunadhamini ukarim wako wa kutenga muda wa kusoma ujumbe huu!

Usisite kutujulisha kama unakikwazo

Ahsante na Karibu.for more info call or watsapp +255757020067.
 

Attachments

  • Recon Logo.jpg
    Recon Logo.jpg
    111.1 KB · Views: 33
Back
Top Bottom