Nataka kununua gari. Nina 4.5m/-

Nataka kununua gari. Nina 4.5m/-

mbongowakweli

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
848
Reaction score
686
Wanabodi, this for serious Car sellers.
Nataka kununua gari, nina 4.5m/=.
Specs :-
  • Cc isizidi 2500
  • Milango 4
  • Petroli
  • Boot iwe kubwa
  • Zima halihitaji marekebisho..
  • Lisiwe limegongwa au kuchoka sana
  • Lisiwe la mangumashi, yaani limeibiwa, dhulumiwa au utapeli wa aina yoyote ile..
Karibuni...
 
cf93622d786d308205cec1341b4ba902.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom