Nsemwas Junior
Senior Member
- Oct 23, 2009
- 173
- 60
Kitanda kipo Tegeta Kibaoni DSM karibu kabisa na Kibo complex. Bei ni 160,000 tu,maelewano yapo.0714-796778 au whatsapp 0628-615685
DahhhhKitanda cha hovyo kabisa.
Hata 50k sinunui
Kwani kakulazimisha jamani mmmh [emoji102]Kitanda cha hovyo kabisa.
Hata 50k sinunui
sorry mkuu sikurudi kwenye uzi coz kiliuzika fasta...kama unahitaji bado nicheki whatsapp au sms 0628-615685Mkuu huko tegeta vyumba vya kupanga bei gani hasa self au chumba na sebule