Faida za kutumia seedling tray ni kama zifuatazo
1. Huzipa nafasi ya kutosha Mbegu ambayo itapelekea Miche kuwa na ubora
2.Ni rahisi kuhudumia ukiwa umepanda kwa tray
3.Tray zina vitundu kwa...
Kwanini uingie gharama zaid Kwa ubora uliopo chini ya kiwango katika umwagaji zege? Funguka Sasa Recon wanakuletea HUDUMA pekee ya umwagaji zege Kwa truck mixer ni rahis na nafuu kwa CBM 1 (Sawa...
Habari wana jf mimi ni Mtumish wa umma nahitaj Gari dogo mfano IST,RAUM,PREMIO ,ALLION Nk.
Kama kuna mwenye Gari tajwa hapo juu Na angependa kuniuzia Gari lake kwa installment ambapo nitakua...
Mimi ni kijana niliyemaliza chuo ngazi ya certificate ya fitter mechanics hadi sasa mwaka wa tatu sijabahatika kupata kazi. Kwa mtu yeyote mwenye nafasi ya kunisahidia anisahidie. Shukrani...
Natoa elimu kwa wajasili amali [emoji117]kutengenez mvinyo wanyany or tomato wine[emoji117]nafundish kutengeneza batki[emoji117]nafundish kutegeneza jam [emoji117]kutengeneza...
Kupitia Jukwaa la Vijana kutoka kampuni ya mawasiliano yenye kasi zaidi nchini Tanzania, tunawaletea OFA kabambe ya #Pinduapindua yenye punguzo la mpaka asilimia 50 katika migahawa, saluni, hoteli...
Nauza laptop Hp bei chee kabisa..
Laki na nusu tyuu..
Haddisk yake ni 300gb
Ram 2gb
Tatizo ni battery halikai na chaji bhac..
Kingine kila kitu kipo sawa..
Mawasiliano 0716026555
0685 436 107
Habari. Najihusisha na biashara ya dagaa wa mwanza natafuta masoko katika mikoa ya kusini.
Ambaye atataka kununua au anamjua mfanyabiashara atakayehitaji aje PM tuyapange
Contact me now for effective design and desirable plus complicated plans.
Tunafika site kwako tunachukua vipimo..halafu tunafanya kazi
Karibu sana
0654919121
0758919121
0622060797
0683928358...
Naitaji pickup single cabin ya mojawapo kati ya hizi zifuatazo
1. Nissan hardbody,
2. Toyota hilux
3. Toyota Landcruiser
Sifa.
- iwe kwenye hali nzuri
- iwe na four wheels drive(4wd)
Ofa.
-...
Wanabodi, this for serious Car sellers.
Nataka kununua gari, nina 4.5m/=.
Specs :-
Cc isizidi 2500
Milango 4
Petroli
Boot iwe kubwa
Zima halihitaji marekebisho..
Lisiwe limegongwa au kuchoka sana...
Habari,Mashine aina hiyo hapo chini kwenye picha inahitajika,kwa yoyote anaeiuza awasiliane nami kupitia namba hii 071-667-9229 ili biashara ifanyike.Napatikana Dar es salaam.
Ndugu Mteja,
Ni matumaini yangu U mzima wa afya,
Je unanyumba inayohtaji marekebisho au Boma la nyumba ambalo wapenda liwe nyumba bora kabisa au unatazamia kujenga upya nyumba bora na ya kisasa...
sikuhz kuna kampuni nyingi dar es salaam zinazojihusisha na mikopo tajwa hapo juu.ni nini kimefichika kwenye hizi kampuni.je,zimesajiliwa kwa shughuli hizo au ni utapeli mtupu wabongo wanalizwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.