Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nianze Kwa kusema Kilimo ni Biashara kama zilivyobiashara nyingine, na hivyo Kilimo kinahitaji utaalamu kwani agriculture is purely science before we put business we must start with science ili...
3 Reactions
43 Replies
9K Views
Habari wapendwa! Karibuni mashuka kutoka Pakistan. Set moja inakua na shuka mbili na foronya nne. Shuka hizi ni kingsize, 100% cotton, hayachuji wala kuweka vipele. Yanapatikana kwa rangi na maua...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa yeyote anayejua bei Na soko la tournament (madini) naomba aje ashuke APA tushee uzoefu jmn!
0 Reactions
0 Replies
575 Views
Nilikuwa nataka nitengeneze website ya kutangaza bidhaa kama alibaba na zingine lakini napata changamoto ya kupata sasa majina yote ambayo nataka nitumie yameshatumika naomba mnisaidie nipate jina...
1 Reactions
8 Replies
853 Views
Habarini wakuu. Nahitaji pikipiki used sanlg au boxer namba B. Offer yangu laki 8 kama nzuri zaidi tutaongea
0 Reactions
4 Replies
942 Views
1. Pata blog kali kwa Tsh 15,000 tuu! Mf wa blog www.slaustec.com, www.unizoneafrica.com 2. Pata App ya blog kwa Tsh 10,000 tuu. Kuona mfano wa app search 'slaustec' Playstore! 3. Pata logo kama...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Wadau habar zenu. Mimi ni kijana wa miaka 24 naitwa Charles niko Arusha nimemaliza masomo ya veta mwaka wa 3 (2017) kwasasa nipo mtaani tu, Natafuta fundi umeme wa magari niwe nafanya nae kaz...
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Ni sehemu gani Dar wanauza simu original na ambazo ni rahisi kama iphone 8 na 8 plus na menye kujua bei anijuilishe. Nawasalisha
0 Reactions
0 Replies
808 Views
Nauza sim tajwa apo juu,
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanauzwa kuku vifaranga vya mwezi mmoja.kuku aina ya kuroiler wanauwezo mkubwa wa kutaga mayai pia niwazuri na watamu kwa nyama wnauzito mkubwa kuanzia kilo mbili nakuendelea ndani ya miezi mitatu...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Serikali imeahidi kutunga sheria kodi za nyumba zilipwe kwa kila mwezi badala ya mkupuo wa miezi 6 au mwaka. Hili ni jambo jema kwani litapunguza mzigo kwa wanyonge. Lakini pamoja na suala la kodi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau, Natafuta UNLOCKED 4G LTE Mobile WiFi Hotspot Router , inaweza ikawa brand yoyote , Huawei, ZTE , TP-Link , haijalishi kikubwa bei iwe nafuu na ifanye kazi vizuri. Kama unayo naomba...
0 Reactions
0 Replies
645 Views
Kwanza kabisa uwe na simu 2. Ili kuweza kufanya survey ofisini kwako, nyumbani ama popote pale kwa kufuatilia shughuli zako ndani ya simu yako inakupasa kuset CCTV Camera katika eneo husika, ili...
14 Reactions
39 Replies
8K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema. Kwa wenye mahitaji ya uyoga mkavu na mbichi tutakufikishia popote ulipo (Dar pekee) kwa bei nafuu kabisa Pia tunatoa mafunzo ya uzarishaji uyoga...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Bei 65,000 tu 0787 429 104
0 Reactions
0 Replies
510 Views
Wadau natafuta viwanja vya bei rahis mahali popote pale hata ikiwa vijijin ndani ndani haina shida,,,,. Anayejua wapi naweza kupata anisaidie Tena nataka vile vya heka moja kwa 50,000 kama vipo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama heading inavyosema. . samsung galaxy note 4 ina tatizo la display yaan ya kubadilisha,inaonesha giza tu tho haina crack. . HISTORY YA SIMU -km Thread zangu zngne znavyoonesha hua nmejkita...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Awali ya yote sikutegemea kama kuna watu wana roho nzuri kiasi hiki Member huyu amejitolea eneo zaidi ya heka 10 huko magonza tena bure kwa ajili ya watu kulima hvyo basi naomba tuungane vijana 7...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Tecno boom j8 nauza bei ndogo tu Camera 13MP storage 16GB Android 5 Betri 3000mAh Bei 150,000 tu Kama utaipenda nichek humu 0625547181
0 Reactions
32 Replies
8K Views
rejea kichwa cha habar. iwe dar. bajet lak 5. kama ni leo itapendeza zaid
0 Reactions
1 Replies
856 Views
Back
Top Bottom