jashmoe32 JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 1,099 Reaction score 438 Jan 18, 2018 #1 Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji mashine (mashine ya bam bam) ya kufyatulia tofali za Inch 5 kwa gharama ya laki moja tu. Iwe katika hali nzuri na ikiwa na vibao,itapendeza zaidi Nipm namba yako kama unayo
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji mashine (mashine ya bam bam) ya kufyatulia tofali za Inch 5 kwa gharama ya laki moja tu. Iwe katika hali nzuri na ikiwa na vibao,itapendeza zaidi Nipm namba yako kama unayo
chardams JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 2,450 Reaction score 1,753 Jan 18, 2018 #2 Kwa hiyo bei Utasubiri sana
John locke JF-Expert Member Joined May 6, 2012 Posts 837 Reaction score 1,290 Jan 18, 2018 #3 Tukiwa tunaelekea kwenye nyumba za kuprint kwa teknolojia ya 3D we jamaa bado unawaza mashine ya Bam Bam. Yajayo yanafurahisha. Je, upo tayari?
Tukiwa tunaelekea kwenye nyumba za kuprint kwa teknolojia ya 3D we jamaa bado unawaza mashine ya Bam Bam. Yajayo yanafurahisha. Je, upo tayari?
jashmoe32 JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 1,099 Reaction score 438 Jan 18, 2018 Thread starter #4 mkuu ntaendelea kusubiri na ndo mana tunasema subira huvuta heri
jashmoe32 JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 1,099 Reaction score 438 Jan 18, 2018 Thread starter #5 ikifika hatua ya wewe kuprint nyumba yako kwa teknolojia ya 3d nami nitakua nimeiacha hiyo mashine ya bam bam.
ikifika hatua ya wewe kuprint nyumba yako kwa teknolojia ya 3d nami nitakua nimeiacha hiyo mashine ya bam bam.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 95,757 Reaction score 136,446 Jan 18, 2018 #6 Nenda Mwenge opposite na efatha pale kuna mashine zipo znauzwa Ova
Madiba JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 426 Reaction score 252 Jan 18, 2018 #7 Gerezani, Kariakoo DSM zimejaa kibao, hela yako tu.
Biashara2000 JF-Expert Member Joined Nov 9, 2013 Posts 624 Reaction score 548 Jan 19, 2018 #8 Mashine tunatengeneza Attachments downloadfile-6-1.pdf downloadfile-6-1.pdf 403.9 KB · Views: 68
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 95,757 Reaction score 136,446 Jan 20, 2018 #9 Vp ushanunua!tupe marejesho? Ova
ARV JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 5,554 Reaction score 7,993 Jan 20, 2018 #10 Biashara2000 said: Mashine tunatengeneza Click to expand... Mkuu hiyo ya kutengeneza mkaa mbadala malighafi gani inatumika?
Biashara2000 said: Mashine tunatengeneza Click to expand... Mkuu hiyo ya kutengeneza mkaa mbadala malighafi gani inatumika?
Biashara2000 JF-Expert Member Joined Nov 9, 2013 Posts 624 Reaction score 548 Jan 20, 2018 #11 ARV said: Mkuu hiyo ya kutengeneza mkaa mbadala malighafi gani inatumika? Click to expand... Matakata aina zote. Nipigie tuongee 0758 308 193
ARV said: Mkuu hiyo ya kutengeneza mkaa mbadala malighafi gani inatumika? Click to expand... Matakata aina zote. Nipigie tuongee 0758 308 193
jashmoe32 JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 1,099 Reaction score 438 Jan 20, 2018 Thread starter #12 bado sijanunua mkuu na ntatoa feedback once kila kitu kikiwa tayari