Nyabiri
Member
- Apr 15, 2017
- 58
- 38
Natangaza kuuza kiwanja changu chenye ukubwa wa hatua 20 upana na hatua 30 urefu,Kipo maeneo dumira morogoro barabara iendayo kilosa.Bei ni makubaliano.kiwanja kipo eneo zuri kwa makazi na biashara pia.
Kwa anaehitaji anitafute kupitia simu no.0692 765 800
Ahsanteni
Kwa anaehitaji anitafute kupitia simu no.0692 765 800
Ahsanteni