martincockpit
Member
- Dec 12, 2015
- 20
- 6
Kwa Tsh 9,900/-Joto sio tatizo tena,kiyoyozi kiganjani mwako;Feni unayoweza ichomeka katika simu yako na ikakupepea.Mawasiliano:0688304874
Nimeelewa concern yako mkuu;ila hii feni inatumia current ya 0.2A the same current unayoitumia kusikiliza mziki kwa kutumia earphone...... So kama simu ipo full charged inaweza fanya kazi hadi masaa 6Changamoto ni jinsi ya kuhifadhi muda wa matumizi ya betri ya simu, sasa ukiweka feni si itaisha kwa dakika 10?
Wasiliana nasi mkuu tukuletee ufumbuzi popote ulipo 0688304874Dah, safi sana.
Lile joto la kwenye daladala nitalipatia ufumbuzi.
@Nimeelewa concern yako mkuu;ila hii feni inatumia current ya 0.2A the same current unayoitumia kusikiliza mziki kwa kutumia earphone...... So kama simu ipo full charged inaweza fanya kazi hadi masaa 6