Sasa ni mwisho wa ugonjwa wa amiba/amoeba

Jan 17, 2018
5
5
upload_2018-1-20_20-54-50.jpeg
images


Amiba ni ugonjwa gani?
ni ugojwa ambao husababishwa na bakteria aitwaye Ectamoeba Histolika ambaye huishi katika kinyesi cha mwanadamu. Ugonjwa huu huweza kuhathiri hadi uti wa mgongo pamoja na ubongo hivyo kupelekea mtu kupata matatizo ya akili pamoja na mgongo.

NJIA ZA KUPATA

kula matunda bila kuosha

kutokunawa mikono baada ya kutoka chooni

kula chakula bila kuosha mikono

kunywa maji yasiyochemshwa


WATU AMBAO WAPO HATARI KUPATA HAYA MARADHI NI;

Wasafiri

Mashoga

Wanafunzi

wafanya biashara sokoni

Huanza kupata maradhi pale ambapo unakunywa au kula kitu ambambo kimechanganyika na hawa bacteria kisha wanaenda katika utumbo mdogo wanazaliana kuwa mwengi baadaye wanashuka katika utumbo mkubwa na kuanza kushambulia mwili. wakikua huishi katika kinyesi cha binadamu kisha hutolewa kwa njia ya haja kubwa na kuishi katika artdhi kwa muda wa wiki nne.

DALILI ZAKE
Tumbo kuuma kwa chini

kuharisha choo kilichochanganyika na kitu kama kamasi

kupungua uzito

homa

utumbo mkubwa kutanuka

MATIBABU

Ikimusi pamoja umunyole ni mimea inayojiotea msituni, mimea hii kwa pamoja inafanya kazi nzuri xaana ktk kutibu tatizo la amiba. dawa hizi huua na kuondoa bakteria wasababishi wa ugonjwa huu na mgojwa hupona kabisa.
mimea hii haichanganywi na kemikali yoyote isipokua yenyewe.mimea hii imenipa umarufu mkubwa kutokana na kutibu watu wengi saana ambao walikua na shida hio kwa muda mrefu na wengine walikua wametumia dawa za antibayotiki bila mafanikio.

Unapotumia hii dawa siku tatu za mwanzo utaharisha na kutoa uchafu wa kila aina ambao hata wewe ukiuona unaweza kujishangaa,baada ya hapo utafunga kuharisha na utaendelea kuinywa kwa siku zingine tano mbele na baada ya hapo nenda kapime uniletee majibu.

Kama unasumbuliwa na tatizo hili haijalishi umekaa nalo kwa muda gani wewe nitafute kupitia email nyabiritibaasilia@gmail.com
au kwenye blog http//nyabiritibaaslia.blogsport.com
Au unaweza kunipigia simu moja kwa moja 0743 708 675

K A R I B U N I N Y O T E
 
Masahihisho (editing)

1. Kuathiri (sio kuHAthiri) ww yawezekana ni mhaya/mfipa.
2. E.Historika sio jamii ya BACTERIA kama unavyosema ni kundi la PROTOZOA. ambao husababisha ugonjwa kama Amiba, giadiasis, trichonomiasis n.k
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom