Gas:
Kuna kampuni nyingi za gas na bei huwa zinatofautina kidogo
Oryx gas
Mihan
Lake gas
O gas
Meru gas
Manji's
Etc
Kwa upande wa jiko la double plate
kuna ya aina mbili
Yenye kioo tupu kwa juu
Na yenye bati kwa juu
Ukichukua mtungi wa oryx na jiko la plate mbili la kioo ni tsh 245,000/= ( complete)
Inakua na kila kitu..pipe gas, valve, mtungi wa kg 32 na jiko la plate 2.
We ni kuwasha na kukaangiza tu.