Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Uncle Nelly farms ni jina linalotumika kuendeshea shughuli za kilimo hapa Tanzania,Tunapatika Mwanza kama Makao Makuu yetu,Ila shughuli zetu za kilimo tunaziendeshea ndani na nje ya Mwanza kwa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Maeneo kati ya moshono na morombo nyumba yenye kuhitaji sebule,dinning,kitcheni na vyumba viwili master pamoja na public toilet moja..
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Naanzisha Uzi huu nkiwa na nia ya kutaka kujua na kuelimishwa kutoka kwa wasomi wa JF kuhusu SE PLATFORM ilivyo na utendaji wake. Je ni ya kweli? Mwanzilishi wake ni nani? Na lengo lake n NINI...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nimekwama naiuza imetumika week moja...
1 Reactions
0 Replies
572 Views
Wakuu habari za wakati huu ni kwamba Nina shida na mwenye kujua au kufahamu zinapopatina hizi mashine pamoja na bei yake (total cost)
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Contact me now for effective design and desirable plus complicated plans. Tunafika site kwako tunachukua vipimo..halafu tunafanya kazi Karibu sana 0654919121 0758919121 0622060797 0683928358...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama unahitaji ni inbox
0 Reactions
2 Replies
591 Views
Tumetengeneza App kwa ajili ya Watoto inayoitwa WatotoApp, ambayo kupitia hiyo watoto watakuwa wanapata hadithi. Kwa sasa, hadithi zilizopo ni kwa ajili ya Watoto wa miaka 8 - 12. Unaweza...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Friji, air conditioner na freezer kuna namna yake ya matumizi na utunzaji ili vidumu. Hapa tuko kikazi na kitaaluma zaidi ili uokoe matumizi ya umeme na kudumisha kifss chako
0 Reactions
0 Replies
719 Views
Nina m 7 yangu hapa jaman naombeni mwenye gari za kike namba D anione hapa tufanye biashara. Nipo Dsm. njoo in box tuyajenge Huwa sipendi sana madalali 3 mpka 4 kwa gari moja.
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Wansugu nahitaji fundi simu mwenye utaalamu na simu na awe na taaluma hyo. Nina simu zangu zinahitaji matengenezo na ushauri wa kawaida zipo 5 kama ifuatavyo: ●Iphone 6+ ●samsung edge 6+ ●phontom...
0 Reactions
2 Replies
698 Views
Inauzwa inauzwa inauzwa karibu tuzungumze
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Salaam.. Yeyote ambae anauza kiti cha ofisini used/kipya, basi nipe picha yake na bei yake Nipo dar nimeweka picha za sample, nahitaji kiti cha namna hii bei isiwe juu sana.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wasalaam wakuu, Eti uyoga naweza upata wapi mitaa ya Dar es Salaam? Sitaki ule wa Supermarket nataka ule ambao haujafungwa kama inawezekana.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kuna kiwanja kinauzwa kipo opposite na bahari beach hotel maeneo ya bahari beach dsm bei yake ni 1.6 billion ukileta mteja unapewa m mia moja yako tafuteni mteja mkuu kiwanja kipo opposite...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Habari wa ndugu, Nahitaji pikipiki aina ya tvs used iliyo katika hali njema, iwe in good conditions, low mileage, iliyokuwa ikitumika for personal use au office use sio bodaboda. Aliyonayo ni pm...
0 Reactions
0 Replies
609 Views
Nauza laptop yangu anaehitaji ani pm tufanye biashara Specifications: Hp probook Procesor intel core i7 RAM 6GB Hard drive 1T Finger print HD Webcam 4 USB port 1 HDMI port 1 VGA port DVD ROM...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
*Mwanamke wa Kiislam na yeyote unaependa vazi la Hijab,karibu ujumuike na wenzako siku ya "PINK HIJAB DAY". *Tupia vazi la Pink,Peach ama Red kuendana na siku yenyewe halafu tukutane DIAMOND...
2 Reactions
0 Replies
918 Views
Habari waungwana. Nina stock ya mahindi kama gunia 200.Naomba kujuzwa je zimefika bei gani na je kuna uwezekano yakapanda zaidi. Nawasilisha
0 Reactions
35 Replies
8K Views
Naomba sana kuelemishwa juu athari ya kupiga ng'ombe chapa. Naona ni agizo hili limetolewa na Mamlaka ya juu kuwa kila mfugaji apige ng'ombe wake wote chapa. Binafsi kwa uelewa wangu ng'ombe...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom