golden pride
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 847
- 435
Kama heading inavyosema, pickup stout namba yeyote ile rangi yeyote iwe inatembea au matengenezo kidogo
Bajeti 4m
0716411720
Bajeti 4m
0716411720
Inategemea anataka Stout ipi. Kama ni stout dume mpaka aende Moshi akazivizie...engine ya kuvisha ingine zipo nyingiutauziwa screpa mkuu au iliyopo juu ya mawe. mara nyingi stouts/pick up bei yake ni mara 4 ya hiyo ofa yako. ndio maana mdau hapo juu kauliza 'usirious' wako
Syo buyer Huyu atakuwa kaskia mtu anataka ye kja kupost humu JfBajet ya M4 hiyo ungefanya ujasiri wa Bajaji sio Toyota stout.Toyota Stout ipo nzur lakini kwa hiyo bei umenikatisha tamaa hata kukuwekea Picha
Ulitegemea stout number d.njoo rombo hapa shauritanga ipo ila aijatembea kama miezi 8 +Kama heading inavyosema, pickup stout
Namba yeyote Ile
Rangi yeyote
Iwe inatembea au matengenezo kidogo
Bajeti 4m
0716411720
Bei gani hiyoUlitegemea stout number d.njoo rombo hapa shauritanga ipo ila aijatembea kama miezi 8 +
Mkuu nilienda porini sikuwa hewani. Nipo serious na naihitaji Kwa kazi zangu za kubeba mawe huku poriniSyo buyer Huyu atakuwa kaskia mtu anataka ye kja kupost humu Jf
Ova
Nadhani sio type ninayohitaji mimishimwa said:Kigoma IPO ila ni m10
Bei gani hiyo, weka pichaBajet ya M4 hiyo ungefanya ujasiri wa Bajaji sio Toyota stout.Toyota Stout ipo nzur lakini kwa hiyo bei umenikatisha tamaa hata kukuwekea Picha
Itakuwa sio hiyo ninayozungumzia mimirobert seninayekuambia mt: 25526300 said:utauziwa screpa mkuu au iliyopo juu ya mawe. mara nyingi stouts/pick up bei yake ni mara 4 ya hiyo ofa yako. ndio maana mdau hapo juu kauliza 'usirious' wako
Nipo serious, bei yake ya mwisho ngapiKuna Mzee mmoja wa kichaga analo!ila namna ya kumuingia na hyo ofa yko! Ila kwanza uniambie u hitaji wako wa hilo gari uko vp,Yaani u seriousness wako
Ova
Ngoja niseme naye kwanza Then ntakurudia mkuuNipo serious, bei yake ya mwisho ngapi
Sawa mkuuNgoja niseme naye kwanza Then ntakurudia mkuu
Ova
Sawa mkuuNgoja niseme naye kwanza Then ntakurudia mkuu
Ova
Sawa mkuuNgoja niseme naye kwanza Then ntakurudia mkuu
Ova