Nauza scania mende bei poa.

Nauza scania mende bei poa.

kitumbotala

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
516
Reaction score
625
Wakuu hodi humu ndani!
Nina Scania mende ambayo ipo sokoni inauzwa

Details:

Year: 2008
Brand: Scania
Price: 71 million
Capacity: 41Tones

Contact: 0625568600

c825b60e4fa116a51e9eec5f0325d44c.jpg

dde5b61fd24364694062f827666a7a41.jpg
4e954e94a789172c4a6c74088bd46d5a.jpg
0d7f2289ca89b2e769bb5bedaf189793.jpg
7e15eb2aa6c007dc62a74b549cba7c6c.jpg
b26fa6106a9271e891964741ac96fa65.jpg
1a4f88dd6be92139ce03ec627f6fe1da.jpg
 
Sina sana uzoefu na biashara za malori ila utapata tu wateja, mende nzuri
 
Samahani wakuu, hivi kwanini inaitwa mende?
Ina Front axle mbili mkuu, zile axle za hapo mbele huwa gari ikikata kona zinageuka pamoja, pia muundo wake hiyo gari ni kama mende tu, kwani mende ana miguu mingapi kijana?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ndo maana siku hizi JF nimeigeuza kama google ndogo hv....ha ha haaaa..
 
Back
Top Bottom