Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,704
Wadau habari zenu, leo asubuhi nimeangusha earphones nyeupe zinatumia bluetooth kwenye gari ya kwenda tegeta kutokea kivukoni, aliyeziona jamani anisaidie kwani nazihitaji sana.
zinaniuma sana, anaweza akatokea mtu mwenye roho nzuri huwezi juaMkuu, una imani!
Bahati zipo duniani. Kila la kheri mkuu.zinaniuma sana, anaweza akatokea mtu mwenye roho nzuri huwezi jua
mshukuru aliezichukua , kakuepusha kuwa 'kiziwa' mtarajiwazinaniuma sana, anaweza akatokea mtu mwenye roho nzuri huwezi jua
bila shaka hili ni term ambalo huwa mnatumia kwenye automation engineering'kiziwa
haahaahabila shaka hili ni term ambalo huwa mnatumia kwenye automation engineering
hehehee, ujumbe kaupata!bila shaka hili ni term ambalo huwa mnatumia kwenye automation engineering