FAHAD KING
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 301
- 377
Hiki ni moja ya kitabu ninachohangaika kukipata na mpaka sasa nimetumia wiki 4 bila ya matumaini yoyote.
Nimezunguka Posta kwenye maduka makubwa makubwa sijafanikiwa kupata now nimeamua kukileta humu kwa mara ya pili kuomba msaada wenu
Kwa yoyote ambaye amafanikiwa kukiona mahali popote au duka lolote la vitabu analoliamini kwamba hakita weza kukosekana basi ni-consult mapema sana ili niweze kukisoma
Nilitaka kukisoma online sema App nilizoelekezwa unaweza download Sample tu na wala huwezi soma chote
Kwa mfano App ya Amazon Kindle ni App nzuri ya vitabu sema unasoma Sample tu hwezi soma chote
Ni moja ya kitabu kizuri sana kinachoelezea Origin ya watu weusi na East Africa au Africa kwa ujumla.Kinatoa hoja nzuri ambazo unaweza tumia kwenye mijadala mikubwa ya watu wenye hadhi zao aidha kwenye makongamano au siasa
Nime attach picha yake kama umekipenda mimi nawe tunaweza kuanza kukihangaikia kwa pamoja mpaka tutakapo kipata
Back from the point....
Nahitaji msaada kwa aidha duka nalo weza kukipata hapa DAR au mtu ambaye anavyo hasa vinavyoelezea Origin of Blacks
Asante
Halafu nimesahau Salam, Samahanini
Habari zenu Wakuu wa JF