HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,450
- 6,211
Wakuu habari za mida hii?
Bila kuwachosha nina simu yangu aina ya Huawei ni Tablet inatatizo la spika pamoja na vitufe vya kuzimia na kuongezea sauti vimetoka.
Fundi mzuri asiyekuwa mbabaishaji ambaye anaweza tengeneza na asiwe na ahadi za njoo kesho mara keshokutwa nataka awe muwazi mimi niko Dar
hiyo hapo