Includes:
8.5" x 11" PROformance™ DD submersible searchcoil, that you may use in streams, water, ponds, it is water proof
Premium volume-control land headphones (waterproof headphones sold...
Habari zenu wakuu,
kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza nahitaji msaada wa mtu yeyote anayejua shirika au kampuni binafsi hapa Tanzania ambapo naweza kupata METAL DETECTOR / GOLD METAL...
nimejaribu kuuza kwa njia ya mnada kupitia hii link Samsung galaxy mega GT-I9200 kwa kiasi chochote cha pesa ulicho nacho!! ila naona watu wanaogopa kutaja dau zao, na waliotaja kama hawapo...
Iwe na :-
- inajitegemea umeme na maji (visiwe vya ku share).
- vyumba vya kulala 3 au zaidi.
- iwe mahala popote ambapo napanda gari moja kuelekea Ghana (pasiwe usahilini)
- ujirani mwema.
- iwe...
Habari za kutwa mwana jf kama kichwa cha habari kinavyo sema nahitaji smartphone ila bajeti yangu ni hiyo niliyo itaja.
Cm inatakiwa iwe na kamera yenye uwezo mkubwa pia iwe na uwezo wa kuhifadhi...
Tunafundisha wanafunzi wote kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita kwa masomo yote ya sayansi, Sanaa na biashara. Pia nafasi chache zipo kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya msingi tupo kinondoni...
Wakuu habari za mida hii?
Bila kuwachosha nina simu yangu aina ya Huawei ni Tablet inatatizo la spika pamoja na vitufe vya kuzimia na kuongezea sauti vimetoka.
Fundi mzuri asiyekuwa mbabaishaji...
1. Camera set 4 na DVR yake na system nzima ni Tsh 900,000/-
2. Camera set 6 na DVR yake na system nzima ni Tsh 1,300,000/-
3. Camera set 8 na DVR yake na system nzima ni Tsh 1,900,000/-
4. Camera...
Hiki ni moja ya kitabu ninachohangaika kukipata na mpaka sasa nimetumia wiki 4 bila ya matumaini yoyote.
Nimezunguka Posta kwenye maduka makubwa makubwa sijafanikiwa kupata now nimeamua kukileta...