Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau habari zenu, leo asubuhi nimeangusha earphones nyeupe zinatumia bluetooth kwenye gari ya kwenda tegeta kutokea kivukoni, aliyeziona jamani anisaidie kwani nazihitaji sana.
0 Reactions
9 Replies
891 Views
Nauza Switch za D-Link zipo mbili ya port 24 na yenye port 16 Mobile 0658175728
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Simu nimenunua miezi 2 iliopita/K/koo sh 315,000 ila naiuza kwa 295,000. haina tatizo lolote lile. 13MP camera 2GB RAM 16GB Internal 4G Network Original Charger Njoo PM kama unavutiwa.Asante.
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Condition: New Price 320k
0 Reactions
4 Replies
968 Views
Kipo Toangoma mtaa wa Masaki ,sio mbali na stand kuu ya Toangoma na ni karibu na shule ya sekondari, ukubwa wa eneo ni futi 60 kwa 70. Hakina hati na bei yake ni tshs million Saba...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Maverick supplies ni kampuni inayojiendesha kwa uuzaji wa mayai ya kienyeji na kisasa. Kwa sasa, stock ya mayai ya kisasa ipo ya kutosha sana. Kwa mwenye mahitaji ya mayai hotelini, shuleni...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Tunatengeneza Mobile apps zote (Android na iOS). Email us at info@buibuitech.com for more info or you can visit our website www.buibuitech.com to get a FREE quote. +255 673 602 513
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wadau, Nahitaji mashine nzuri ya GPS ya bei ya kati wanayotumia wataalam wa survey kwa ajili ya kupimia viwanja,mwenye uelewa iliyo nzuri na zinapoizwa plz!!
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wandugu anayeuza simu aina ya nokia ya tochi iwe org isiyo na tatizo lolote ajitokeze tufanye biashara.
0 Reactions
53 Replies
9K Views
Nyumba inauzwa ipo mbagala sabasaba kwa mpili bei in sh Million 12 maongezi yapo karibuni sana.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Je wajua faida ya mafuta asili ya nazi? . Yanatengeneza Misuli ya mwili Hutibu maambukizi ya fangasi . Yanaotesha nywele Yanaondoa mba kichwani Mafuta bora zaidi kwa ngozi yako Yanalinda ngozi...
0 Reactions
15 Replies
10K Views
FUJITSU SIEMENS LBS6420 INTEL core 2 Duo@2.4Ghz 2Gb ram, 80Gb hdd 14.1" Screen size Dvd rw webcam,vga,3 usb ports,wifi firewire port,Blutooth,card reader windows 10 pro...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zanu ndugu wasomaji katka hii app. Tunayo furaha kubwa sana kuwafikishia ujumbe huu. Kutokana na wimbi kubwa la watu wanao jivika taji la ufundi ikiwa awna professional na kaz guys, sasa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kiwanja chenye ukubwa wa 25 kwa 25 ,kinauzwa , Kiwanja kipo kibamba . Kinaumbari Wa m500 ,kutoka morogoro load , katembea kwa miguu mpaka kilipo ni dk 20 /30. gari inafika bila shida. Umeme...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
okoa biashara yako sasa kwa kutumia e-lectronic marketing baina ya biashara na mteja. 1.Natoa huduma ya bulk sms (ujumbe kufika kwa watu wengi) hadi watu 600,000 kwa siku moja 2.Nauza database za...
0 Reactions
6 Replies
893 Views
Mapaambano yanaendelea digital market ndio him tuwasiliane sana kwa. Wanahohitaji kuprint flana kwa bei nafuu yani yakuhangushiaaaaa mawasiliano ni 0653262105
0 Reactions
1 Replies
565 Views
Subaru mpya kabisa inauzwa kwa bei nzuri,nyaraka za umiliki zote zipo. AINA YA GARI: Subaru Legacy saloon LOCATION; Dar es salaam CC; 2000 MWAKA; 2004 REG NO; T 353 DHX BEI; 11.6 million (Maongezi...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
D-link switch nauza mobile 0658175728 Ni mpya
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau nataka kuanzisha duka la nguo za mtumba nimepata chimbo moja matata sana,nahitaji kujua wapi naweza kupata "enga" sijui kama ni kiswahili fasaha.Nahitaji kama 700-1000 hivi,nipeni chimbo la...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom