Habari wana Jf.. Kwa anyehitaji mashudu ya alizeti yanapatikana kw mkulima mimi.. Ninauza kwa Kilo
Kwa atakaehitaji tuwasliane kwa namba 0738-357-205
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Dada anatafuta mkopo wa laki tano .inarudi baada ya wiki tatu na riba ,itarudi laki saba.laki mbili riba.dhamana yake Duka lake kubwa la nguo lipo mbezi ya Kimara.ukiwa unaanza kupanda...
Imetumika kwa Miezi miwili.
Ina hali nzuri Sana.
Display 5.5"
Fingerprint sensor
Hybrid Dual SIM
Supports 4G
Original charger ipo.
Bei ni..330,000/-Tsh
CONTACTS:0756504029/0714145262
SOLUTION: Calculating Effective Interest on Reducing balance…
I Have a solution to Banks / Financial Institutions to recalculate / Compute effective interest on a loan (USING ACL DATA...
Tunatoa scholarships(ufadhili wa kimasomo) kwa wale wanaopenda kwenda kusoma nje ya nchi, kama china japan na korea kusini.
Scholarships hivi ni kwa ngazi ya Phd, Masters, Bachelors na kozi za...
Kwa anayehitaji gari, nina Harrier namba D yenye cc 2190 Engine 5s rangi pearl, ipo Dar
Kwa anayehitaji anaweza wasiliana nami kwa namba 0628021221, picha zitatumwa kwa muhitaji tu, Tafadhali,
Tecno l8 lite for sale:quick specs of the tecno l8 lite
5.0 inch display screenIPS HD display720*1280 pixels resolutionRuns on Android 6.0 MarshmallowPowered by a quad core processorClock...
Kiwanja kina ukubwa wa 35 kwa 30 kipo mahali pazuri na mitaa mizuri pamejengeka tena kwa mpangili
Bei 16.5ml
Maongezi kidogo yapo na kwa maongezi zaidi au kuja kuona wasiliana nami kwa
0756060183
Kwa Mahitaji ya viwanja nicheki
Nina kiwanja kipo kinyerezi king'azi bei milioni 3 ukubwa 20×20
Pia mbezi makabe 20×20 bei milioni 6
Kingine kibamba Kiluvya milioni 3.5 ukubwa 20×20
Nicheki...
Kinahitajika kiwanja cha size kawaida:
Kipimo kati ya mita 10 kwa 15 hadi 20 by 30.kiwe katika moja ya maeno yafuatayo:
Mbezi malamba mawili,Kivule, na Magole.
Bei iwe reasonable na miundo...
Kuna bidhaa za kilimo nataka kununua Njombe sasa nahitaji kuziona kwanza na kwa sasa niko mbali sana, je kuna mtu yeyote yuko njombe ani-PM aende kuzicheki kabla sijatumiwa mzigo... fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.