Baraka sheni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 473
- 198
Habari za kutwa mwana jf kama kichwa cha habari kinavyo sema nahitaji smartphone ila bajeti yangu ni hiyo niliyo itaja.
Cm inatakiwa iwe na kamera yenye uwezo mkubwa pia iwe na uwezo wa kuhifadhi vitu.
ANATAKIWA IWE NA UWEZO WA KUTUNZA CHAJI KWA MDA MREFU. KAMA UNAYO KARIBU PM TUZUNGUMZE