Habarini,
Wapi nitapata GPS mashine kwa ajili ya kazi za survey na kupima viwanja na mashamba ya bei ya kati tu.
Je aina gani ni nzuri ninayoweza kuanza nayo?
Habari wanajamvi…''!!
kama kichwa cha habari kinavojieleza,, natafuta shamba kwa ajili ya upandaji wa miti, liwe maeneo ya Nzela, Geita au maeneo mengine ya karibu na huko,,
Bajeti niliyo...
Kuku shop ni wauzaji wa VIFARANGA aina ya kuroiler pamoja na mayai kiujumla.
Bei zetu ni sawa na bure kabisa...
Bei ya kifaranga kimoja ni elfu moja na mia tano (TZsh 1,500/=)
Bei ya mayai kwa...
VIWANA vilivyopimwa kigamboni Dar Zoo vinauzwa, malipo kwa awamu hadi mwaka mzima yanapokelewa. tupo NBAA Mhasibu House karibu na Maktaba kuu Au tupigie 0715833384
Kutokana na shauku kubwa ya watu kutaka kufanya mradi wa ufugaji wa kuku kwa ajili ya kujiongezea kipato nimeona niendeshe mafunzo maalum ya kuwajengea uwezo wafugaji na watu wote wenye nia ya...
Kama wewe ni mzalishaji wa bidhaa za kuku,fuata link hiyo hapo kwa kukutana na wanunuzi
Na wafugaji wengine kea ajili ya kubadilishana uzoefu.
SOKO LA KUKU NA MAYAI TANZANIA
Tupo mikocheni industrial area,nyuma ya nyumba za mawaziri,tunauza brands tatu kutoka china kwa bei poa kabisa,brands zetu ni roadcruza,goodtyre na goldtyre.picha za matairi yetu pamoja na...
Karibuni wote vifaranga vya sasso, kuroiler, malawi na broiler vinapatikana kwa wingi na kwa bei che. Wasiliana nasi kupitia 0714436335 au 0789823594,
Na mafunzo pia tunatoa kwa wafugaji...
Zina madini aina ya
Zinc
Kopa
Chuma
Magnesium
Manganese
Phosphorus
Husaidia kuzalisha Maziwa kwa mama anaenyonyesha
Husaidia kurekebisha sukari mwilini na kuwezesha kongosho kufanya kazi yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.