seckymose
Member
- Dec 29, 2016
- 87
- 47
Habari zenu wakuu,
kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza nahitaji msaada wa mtu yeyote anayejua shirika au kampuni binafsi hapa Tanzania ambapo naweza kupata METAL DETECTOR / GOLD METAL DETECTOR ya kukodi ili nitumie kwenye shughuli zangu za utafutaji na uchimabaji wa madini.
Wakuu naombeni mwenye kujua anijuze ili niweze kusonga mbele kwenye michakato yangu.
shukrani wakuu.