Kiwanja kinauzwa bei poa, Kipo Mbagala vikindu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja kinauzwa bei poa, Kipo Mbagala vikindu

Discussion in 'Matangazo madogo' started by kakamgeni, Feb 11, 2018.

 1. k

  kakamgeni Member

  #1
  Feb 11, 2018
  Joined: Feb 1, 2018
  Messages: 90
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 25
  Asalaam aleikhum ndugu zangu wa jukwaa hili mahsusi, matumaini yangu kuwa ni wazima wa afya na mnaendelea na gurudumu la kusukuma Maisha. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.

  Kiwanja kinauzwa kipo Mbagala Vikindu karibu na Shule ya Msingi ya Vikindu na Chuo cha uuguzi cha Vikindu. Ukubwa wake ni 102 kwa 82. Hakina shida yeyote kimepimwa na kina nyaraka zake zote.

  Umbali kutoka Kituo cha mabasi Vikindu mpaka kufika kwenye Kiwanja ni takribani Mita 50. Huduma za msingi zimefika ikiwemo Maji, Umeme na Barabara ya kuingia gari kubwa na ndogo bila usumbufu wowote ule.

  Nimeambatanisha picha za kiwanja na video fupi ili kama utakuwa umevutiwa nacho tuweze kuwasiliana kwa simu namba : +255 629 22 76 97. Bei ya kiwanja ni Milioni 13(Mazungumzo yapo).

  Kwa wale wageni wa Vikindu ni kwamba, ukifika Mbagala kama unatumia Usafiri wa daladala unapanda gari za Vikindu unashuka mwisho wa gari.

  Wale wenye Magari binafsi pia ukifika Mbagala Rangi tatu unanyoosha moja kwa moja mpaka kwenye Kiwanda cha Bakhresa kwa Mbele utakutana na kituo cha Mabasi Vikindu unaingia kulia.

  Attached Files:
   

  Attached Files:

 2. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2018
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,681
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Ni Mita 31 kwa 25 hapo Sawa na 770 Sqm hivi
   
 3. k

  kakamgeni Member

  #3
  Feb 11, 2018
  Joined: Feb 1, 2018
  Messages: 90
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 25
  Sijakupata kwenye hivyo vipimo ulivyoweka mkuu?
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...