Nyumba inauzwa Mbezi mwisho Malamba mawili

Nyumba inauzwa Mbezi mwisho Malamba mawili

bazoka

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
300
Reaction score
141
SQM 640 ukubwa wa kiwanja

Nyumba nzuri sana mpya

Bei 45 Million(maongezi yapo)

Hapajapimwa

Mwendo wa dakika 20 kufika eneo lenyewe

Picha chini

Contact 0622-027490
IMG_20180211_142501.jpg
IMG_20180211_142430.jpg
 
Bei kidogo umejitaidi kuanza nzuri.

Mbona kama hakuna hata dalili Ya watu kuishi hapo?
 
Hiyo nyumba nimeipenda,ngoja nimalizie kulipa lile ghorofa bahari beach then nikibakiwa na tuhela ntaichukua hiyo kesho kutwa
 
Mkuu mteja yupo ila anataka kujua sababu ya kuuza,,isiwe nyumba hailaliki
 
Picha mbona kama unaibia ibia kupiga piga kwa mbali tuone mazingira around the house
 
Mkuu mteja yupo ila anataka kujua sababu ya kuuza,,isiwe nyumba hailaliki
Piga simu mkuu acha maneno marefu utapata hizo concrete reasons za kuuza nyumba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom