Check na jamaa wa Mafinga - Iringa kule ndiyo kuna shamba kubwa la hao wanyama. Pia inabidi uelewe kwamba farasi wapo ktk makundi mawili, trained one and untrained one basi na bei ni tofauti kabisa.
Kwa mikoa hiyo sidhani ,ila Iringa nenda shamba la ASAS lipo jirani na mjini kama km 20 hivi ,kwa arusha nenda USA river kuna shamba ila huwa ghali sana mmoja anarange 7-15 milion ,na kuwalea ni kazi sana wanaofuga mara nyingi huwa ni kwa ufahari tu sio biashara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.