simu yangu ya htc disire 320 muda mwingine inawaka na kutumia bila shida ila kuna muda inawaka na kurestart. Na ukiizima ukiweka chaji inajiwasha. Nafanyaje? Hili tatizo liishe.
Kwa mtu ambaye anajua simu pamoja na bei zake hatobishana nami kwa simu hii.
Serious buyer DM or WhatsApp/Call
+255 712 418 986. Nipo Dar
Sifa zake:
Samsung galaxy c7 pro
64HD, 4GB RAM
SINGLE...
Habari!! Natafuta Airtel UNI vocha za usiku zile za wanafunzi wa chuo kama hiii hapa aliye nazo au anajua nani anazo naomba kupata kujua. Mfano wa hizo vocha nimeambatanisha chini hapo[emoji1313]...
On sale used lenovo thinkpad x220 medium pc, processor core i5-2520M,ram 4gb,hdd 320gb,bluetooth,fingerprint,sd card reader,hdmi slot,3 usb hub,screen size 12.5" led backlight,webcam,inakaa na...
Wanajamvi husika na habari tajwa hapo juu Mimi NATAFUTA Frem kwa ajili ya saloon kwenye sehemu zilizochangamka au zenye watu wengi,pawepo na movement kubwa ya watu maeneo ya UHASIBU DAR NA...
Kwa bloggers ambao wanataka manufaa kwa blog zao na kuweza kutengeneza hadi $6000 per day is very simple. Kama tunavyojua blogger wengi wamekuwa hawana uwezekano WA ku boost page kutokana na...
Wakuu juzi nilileta Uzi hapa kuomba msaada baada ya mtoto kupasua kioo cha TV, nashukuru nilipata mafundi wazuri sana k/KOO nimewekewa kioo kipya KWA Tsh.350,000/=, saizi mambo safi kama...
Husika na kichwa hapo juu nauza hili blanket zito na kubwa kwa bei poa ya shiling elfu 50 sababu za kuuza kuna jingine nililetewa jepesi nikalipenda zaidi sasa ili inanibidi niuze coz mkoa niliopo...
Wadau,
Tunawatangizia kuwa tutakuwa na mafunzo ya siku 4 yanayohusu sheria za kazi na utatuzi wa migogoro kazini - Conflict Resolution & Employment and Labour Relation Act
Mafunzo haya ni bure...
Nahitaji gari ya kukodi tarehe 7 mwezi wa nne kuanzia saa 5 asubuhi hadi saa 6 usiku kwa ajili ya harusi, Aina za gari ninayohitaji ni Prado au range. Bajeti 250000.
Habarini
Kam kichwa kinavojieleza nauza lain ya mpesa bei ni 150000tsh. Haina tatizo lolote na ina document zote za muhimu ,,,napatikana ubungo maeneo ya kona
Mawasiliano 0752402586
0716058858
First time scholarship for MBBS (bachelor of medicine and surgery)
[emoji820]MBBS Partial Scholarship for 5 year
, English medium
1)—-
MBBS University:
[emoji820]Scholarship covers...
Habari wadau
Ndugu yenu nataka nijitwalie usafiri ili unisaidie mizunguko yangu ,sasa nmeona kuna sunlg xl 125 ila sijavutiwa nazo .
Mimi Navutiwa na pikipiki aina ya TVs kutokana na ulaji wake...
Wadau kuna rafk yangu kaniambia anahitaji rim sports za hard top cruiser Dodoma au singida, je atapata kwa sh ngapi kwa pc moja? Zinahitajika za chuma siyo aluminum
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.