Ajira Tanzania
Member
- Feb 8, 2017
- 79
- 27
Wakuu Habari zenu... Kiwanja Kizuri Sana
Neluka shule ya msingi au sekondari? Pale njia ya ng'ombe?Wakuu Habari zenu... Kiwanja Kizuri Sana kinauzwa.. Kipo maeneo Karibu na Shule ya msingi neluka.. Kiwanja ukubwa sabin kwa sabin.. Kiwanja ni Tambalale.. Vijana hucheza Mpira apa kupo Safi hutopata tabu kulima...mtaa umetulia... Bei ni million 70 ( price isn't fixed) bei inaweza pungua njoo inbox kwa maelewano or call 0745 731 425
Najalibu ku upload picture ila network inazingua so be patient picha itakuja
Neluka sekondarNeluka shule ya msingi au sekondari? Pale njia ya ng'ombe?
Mtoni kijichiNeluka ni wapi
HapanaUmesema watoto wanacheza hapo,usijekuta kimebadilishwa matumizi na serikali kuwa eneo la michezo