S Shamioli Member Joined Feb 23, 2018 Posts 21 Reaction score 5 Mar 20, 2018 #1 Tuna utaalamu wa kuandaa maandiko ya miradi (feasibility studies/business plans) kwa ubora wa hali ya juu. Kama unahitaji contact 0766805757.
Tuna utaalamu wa kuandaa maandiko ya miradi (feasibility studies/business plans) kwa ubora wa hali ya juu. Kama unahitaji contact 0766805757.
Mzee wa hat-trick JF-Expert Member Joined Nov 21, 2016 Posts 1,730 Reaction score 2,394 Mar 20, 2018 #2 Watu wataoneshaje nia kama wewe hujaonesha nia ya kuwasaidia...??? Tangazo lako lipo kitapeli tapeli. Jielezee vizur, toa contacts, watu wakuelewe ili waamue wenyewe kma watahitaji huduma yako au la...!!!
Watu wataoneshaje nia kama wewe hujaonesha nia ya kuwasaidia...??? Tangazo lako lipo kitapeli tapeli. Jielezee vizur, toa contacts, watu wakuelewe ili waamue wenyewe kma watahitaji huduma yako au la...!!!
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 21,106 Reaction score 48,733 Mar 20, 2018 #3 Mtakua na utaalam wa vitu vingine ila sio biashara wala kuandika miradi.
S Shamioli Member Joined Feb 23, 2018 Posts 21 Reaction score 5 Mar 30, 2018 Thread starter #4 Kama unahitaji ufafanuzi tumetoa contact yetu tafadhali wasiliana nasi. Tutakuwa tayari kukupa details.
Kama unahitaji ufafanuzi tumetoa contact yetu tafadhali wasiliana nasi. Tutakuwa tayari kukupa details.