Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau,kiwanja changu mwenyewe nakiuza kina square metres 592,bei 15M (maongezi kidogo yapo) ..kimeanza kupimwa na risiti ya malipo ya awali (advance payment ) ipo...eneo tambalale na ni metres...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Awe na Advanced Diploma au zaidi na awe computer literate; awe na uwezo wa kutumia accounting packages kama Tally, Myob, nk. kwa ajili ya duka la jumla na rejareja hapa Dar. Mshahara ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nasumbuliwa na panya waliokosa heshima kabisa.. Kama una paka ambaye ana roho mbaya hata kama unauza ntanunua tafadhali... Akiwa mdogo atafaa zaidi.. Nipo Dar Chang'ombe
12 Reactions
126 Replies
10K Views
Nianze kwa kuwatakia heri ya pasaka na mwanzo bora wa mwezi wa nne. Ningependa fahamu Kati ya hizi TV bland mbili ipi ni bora zaid ya nyingnine kwa ujumla ushauri utakao nisaidia katika kufanya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sajiliwa laini mpya ya vodacom na iunganishwe na Ofa ya Chuo bila kitambulisho cha Chuo kila jumamosi na jumapili piga 0769426491 kwa Maelezo zaidi
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu nahitaji TV sasa hivi nipo kinondoni B iwe kwenye hali nzuri.
0 Reactions
2 Replies
906 Views
Dalali inaungaisha wateja na wafanyabiashara kupitia tovuti yake www.dalali.co Unachotakiwa kufanya ni kujisajili, na kuweka tangazo lako bure kwenye website ili kufikia wateja wengi wanaotembelea...
0 Reactions
3 Replies
976 Views
Kiwanja kipo Salasala Kilimahewa juu jirani na Maliasili. Kina documents za umiliki zinazotambuliwa na serikali ya mtaa na kata. Kina ukubwa wa miguu 22 kwa 25. Kina nyumba (underground) ambayo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari Nauza vitu vifuatavyo vina upya wake na kila accessories zake zilizokuja navyo kutoka dukani Samsung Smart Flat Screen inch 40 kwa Tshs. 1.3M Fridge westpoint kwa Tshs. 650,000/=...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Container Zote ni mpya Zipo Kurasini call me 0672243892 Price mil 2.5 20500000
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari zenu Ndugu zangu naitwa innocent ninajambo nahitaji msaada kimawazo mie nimkongwe kwenye tasinia ya uandaaji wa filamu ninakampuni iliyosajiriwa hii kampuni nimalengo yangu ya miaka...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
  • Closed
=========================
5 Reactions
260 Replies
29K Views
Habari wakuu, nahitaji CRT monitor. Kwa mawasiliano karibu pm.
0 Reactions
0 Replies
672 Views
Nyumba inauzwa ipo mbez beach kituo makonde ina vyumba viwili ,jiko ,choo ,sebule ,pia nyuma kuna nafasi kuongeza vyumba viwili zaidi bei ni 26mil kwa mawasiliano 0742597424
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu Habari zenu... Kiwanja Kizuri Sana
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nyumba inapangishwa Arusha sanawari . ina vyumba viwili vya kulala na sebule na choo, jiko, bafu, store. ipo ndani ya fence ina umeme na maji karibu na barabara ya daladala. bei yake ni laki mbili...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Pawahost.com for websites , systems , (from school, hospitals, real estate, tourism, or any other business) We are here to make it happen and at affordable cost Domain name 25000/- Hosting...
0 Reactions
0 Replies
552 Views
Nahitaji stout pick up 2200 single cabin popote pale ilipo nitaifuata mwenye nayo anitumie picha , mara Nyingi hii huwa zinapatikana Moshi vijijini
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nauza mashine ya bisi bado ipo katika hali nzuri na inafanya kazi vizuri sana, inapatikana Nyanguge-Mwanza, bei 280000(laki mbil na 80) maongezi kidogo yapo. Nichek 0625782871.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naomba tuition kutoka kwa members wenye uzoefu hapa JF.Je nikiishazinunua,utaratibu wa kubadili jina ili zisomeke kwa jina langu huko kwenye makampuni ya simu ukoje ? ILI NIANZE KUZITUMIA...
0 Reactions
2 Replies
915 Views
Back
Top Bottom