Ni simu bomba kwa bei poa kabisa ukumbuke simu hizi ni mpya Full Box yaani unatoa ganda mwenyewe. Kwa mawasiliano 0652971495
Mate 10: 64gb...1,130,000
Mate Pro 128gb...1,200,000...
Habari wakuu,
Nauza majiko ya kisasa yanayotumia mkaa kidogo kutoka kampuni ya burnstoves.
Yapo matatu na kila moja nauza Tshs.100,000/= kama una pungufu unaongea.
Nipo Dar es Salaam,
Namba...
Habari wanajukwaa,
Nauza simu aina ya Samsung galaxy grandprimes plus. Simu ni used.
Sifa zake:
1. Ina kioo cha inchi 5
2. Memery ya ndani GB 8
3. R.A.M 1.5GB
5. Kamera ya nyuma 8MP,ya mbele 5 MP...
Punguzo la bei katika msimu huu wa Pasaka, pata Business Cards Pcs 100 kwa 15,000/- tuuu...
Tunapatikana Kariakoo, mtaa wa Kongo na Kariakoo, karibu na mgahawa wa Madina.
Piga simu au Whatsapp...
Kwa Wakazi wa Tanga
A. Pata vifaranga vya kuroila
1: kifaranga cha siku 1800
2: Kifaranga cha wk 2,500
3: Wiki mbili 3,000
B: Vifaranga vya kuchi mdomo kasuku
1: mwenzi 50,000
Waho...
Habari,
Tunakushauri kuwa muangalifu ili kuepuka utapeli wa mitandaoni. Kamwe usitoe PIN (namba yako ya siri) au namba yako ya akaunti ya benki kwa mtu yeyote au sababu yoyote ile. NMBKaribuYako.
Sina hofu na afya zenu, natumaini mko wazima , ni salama na amani.
Kama kichwa kinavyosomeka, shida yangu ni kujua bei halisi ya matrekta kwa kuainisha aina zake na uwezo wake.
Mfano-Massey...
Ni simu bomba kwa bei poa kabisa ukumbuke simu hizi ni mpya Full Box yaani unatoa ganda mwenyewe. Kwa mawasiliano 0652971495
Mate 10: 64gb...1,130,000
Mate Pro 128gb...1,200,000...
Heshima kwenu wote.
Nauza external hard drive aina ya WD Elements mpya kabisa kwenye boksi,yenye uwezo wa 750GB made in Malaysia.
Bei 175,000/=net
Inapatikana Tanga mjini.
Ikiwa unahitaji...
*Bei 185,000
*Risiti zake zote bado zipo
*8 mega pixel front camera
*13 megapixel back camera
*INTERNAL MEMORY 16 GB
*Finger sensor touch
*RAM 1 GB
*Colour Black
*Location Dar es Salaam...
TUNAUZA NAZI KWA BEI YA JUMLA
NAZI KUTOKA KUSINI (LINDI & MTWARA) NAZI BORA ZILIZOKOMAA
UKIAGIZA NAZI KUANZIA 1000 TUNAKUSAIDIA KULIPA USHURU.
NB: TANGAZO LIMEANDIKWA TAREHE 23/3/2018 BEI YA NAZI...
Habari wana jamvi....
Please to recommend Sound/ Music System ya ukweli nayoweza nunua hapa Bongo land na duka lipi hasa + bei...
The system should support current and future (about +5 years to...
Kuku Tanga inakuletea punguzo la bei Kwa kuku chotara Aina ya kuroila.
Bei zetu nii
1: Tsh 1,800 Kwa kifaranga cha siku moja.
2: 2,500 Kwa wk moja
3: 3000 Kwa wk mbili
4:3,500 Kwa wk tatu...
Nauza dishi la star times ambalo limetumika kwa miezi mitatu tu lina kila kitu kinachotakiwa kuanzia dishi lenyewe,waya ,king'amuzi na remoti pia kumbuka kwa wapenzi wa mpira ndo king'amuzi pekee...
Wana jamvi
Salaaam
Naomba mwenye uelewa au ufahamu wa mashine za kutengeneza mkaa wa kisasa( alternative charcol ) na soko lake anijuze,pia na masoko ya bidhaa yaani mkaa wenyewe kwa hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.