Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

habari wakuu, nauza tv inch 32 aina ya lg kwa bei nafuu,imetumika miezi 4.ipo bukoba,ukiitaji nitafute, 0752157884
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Toyota Ist Year :2003 Cc:1290 Low Mileage Mint Condition Price:Mil 11.5 Contact:0717760515
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wakuu habari Naitaji simu tajwa hapo juu, Samsung note 8 au iPhone 7 used from Marekani au UK Mwenye nayo anipm
0 Reactions
3 Replies
939 Views
JIPATIE PAMBA KALI KALI Onlineshop from East africa tZ JIPATIE SHOES[emoji151][emoji150][emoji152][emoji149][emoji148] ,JEANS[emoji158][emoji158],T-SHART)[emoji153][emoji154][emoji156][emoji160]...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari wadau... Ninauza kiwanja chenye nyumba ya vyumba vinne na sebule, kiwanja kipo karibu kabisa na stand mpya ya nyashishi mwanza ( mita 150 kutoka barabara kuu). Nawakaribisha wateja wote...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kichwa cha habr hapo chajieleza,nipo moro mjin alienae bac tufanye mambo sasa hv!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kitabu cha mafunzo ya kuandaa chakula cha mifugo - Hydroponics Fodder sasa kipo mtaani. Pata nakala yako ulipo - Tupigie simu 0655 533 543. Rejareja Tshs. 5,000/= Kwa wanaohitaji kwa jumla Tshs...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Full automatic Eggs Incubators zimewasili. Mayai 48 - Tsh. 380,000 Mayai 59 - Tsh. 420,000 Mayai 96 - Tsh. 500,000 Mayai 98 - Tsh. 530,000 Mayai 200 - Tsh. 980,000 Warranty mwaka mmoja...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nko chato, Wapi Naweza pata soko. Dagaa Wanakaangwa Kw ujuzi wa hali ya juu, Viuongo vya kawaida hutumika na mafuta safi yasiyo na harufu, ni watamu sana. Mzigo upo jumla na rejareja. Naombeni...
4 Reactions
45 Replies
6K Views
Samsung home theatre iko sokoni kwenye hali nzuri ikiwa na sifa zifatazo. 1. full hd & 3d entertainment 2. 5 speakers na sabufa 3. 2/5 wireless speakers 4. unaweza unganisha na TV na ukatumia...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Non- Hosted Adsense account Bei 40,000 Ziko nne Bado mpya Mawasiliano PM au 0763831879
0 Reactions
0 Replies
488 Views
Wanajamvi humu ndani nahitaji mzani wa dukani wa mawe na sio wa mshale.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wana jukwaa,nimekua nikitafuta hivi vidude kwa muda mrefu sasa Vinaitwa Rubik's Cubes naomba muongozo kwa yeyote anayejua kwa hapa Dar Es Salaam ninaweza kuvipata duka gani au...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Habar zenu wazee tunauza nyumba Ipo Ubungo maziwa karibu na Moveck Hotel hatua chache kutoka Ubongo bus terminal, Ukubwa sqm 25×35, Ina hati, vyumba vitatu, master moja, sitting/ dining room...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kutrade, kutrade...ni nin..?? Biashara yoyote huusisha kununua na kuuza...hivo 2 ndo huonyesha uwepo wa biashara(trading) Unanunua kwa bei ya chini na unauza kwa bei ya juu Na coin ndivo ilivo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tunakodisha vifaa vya barabara na ujenzi. Tunapatikana Daressalam, Dodoma na Singida. karibu sana. 0654919121 0658919121
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mzigo huo, changarawe mahsusi kwa wachimba visima na wajenzi zinatumika kuweka floor ya tarazo na linta pia mzigo upo mwingi kama unahitaji nicheki inbox kwa maelezo zaidi na bei, nauza kwa piece...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kiwanja cha square metres 592,kinauzwa 15M..kipo mbezi msumi 'C'...,kina miti ya miembe na ni tambalale...! Kina umbali wa dak 2-3 kutoka barabarani (main road..) only seriously buyer's...check on...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nahitaji external hard disk bei ni maelewano pesa ipo cash .. msingi uwe dar au shinyanga mjini , ikiwa na maana kwa dar ni rahisi kufanya biashara maana nina connection pia shinyanga kuna...
0 Reactions
2 Replies
773 Views
Wakuu naomba kujua bei ya pumba ya mahindi kwa gunia au kwa tani.
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Back
Top Bottom