Wadau wa kutengeneza simu.

Wadau wa kutengeneza simu.

shemahenga

Senior Member
Joined
Jun 28, 2015
Posts
131
Reaction score
51
simu yangu ya htc disire 320 muda mwingine inawaka na kutumia bila shida ila kuna muda inawaka na kurestart. Na ukiizima ukiweka chaji inajiwasha. Nafanyaje? Hili tatizo liishe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom