Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wakuu Anayeweza kutengeneza aina hii ya mikoba(kwenye video hapo chini[emoji116] [emoji116] [emoji116] ) naomba ani-pm nahitaji mafunzo. Nipo DSM
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama kichwa vha habari kinavyojieleza... Nahitaji tv mbili ziwe LED inch 32 itapendeza ikiwa za second hand na kila moja nakupa 320,000.... Biashara leo leo..... Location DSM 0768080549 kwa...
0 Reactions
6 Replies
944 Views
Kwa yeyote anayehitaji sebule na chumba self maeneo ya tabata segerea just inbox me... Kodi ni 100,000/= unalipa miezi sita.. No dalali nakupeleka kwa mwenye nyumba mkamalizane... Patakua wazi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wadau Nina idadi kubwa ya kuku wa kienyeji hapa dar es salaam. Naomba kujua kama kuna mtu ana mgahawa au connection na restaurant/hotel yoyote anaweza kuniunga ili tufanye kazi. Kuku...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari wakuu, Nina mzigo WA tikiti kama Piece 4000 hivi bado zipo Shamba na tafuta mtu WA kufaulisha..... Namba; 0787 833 585
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Safety valve ya jiko la gas Na pipe take bei 10000/ tu napatikana mbagala zakhem Namba 0656560824
0 Reactions
0 Replies
611 Views
kichwa cha habari hapo juu kinahusika kwa sana Mimi ni kijana wa miaka kadhaa, nimehitimu chuo kikuu mwaka jana shahada ya Ualimu. lakini kama mnavyoua suala la ajira limekuwa chngamoto kidogo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari ndg jamaa na rafiki kitabu kiitwacho fursa 20 za kuanzia hapo ulipo. Kinaizwa kwa shilingi elfu tano tu na Kina masomo 20 muhimu Ambayo waanzia popote ulipo hata chumbani kwako na ukaongeza...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Naomba kujua kati ya "Refined and non Refined "sunflower oil ni yapi mazuri.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunachora ramani za nyumba aina zote. Tunatoa ushauri wa ujenzi nk. Pia tutakupa gharama zote za ujenzi wa nyumba yako. karibu sana. 0654919121 0658919121
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau pale Mbeya mjini wapi wanauza matofali ya kuchoma? Tofali moja Sh..ngapi na je nyumba ya vyumba 4 itahitaji matofali mangapi??
0 Reactions
6 Replies
2K Views
We design and supervise residential or commericial projects Call/ whatssap 0714156854
0 Reactions
0 Replies
753 Views
Incubator SOLAR na GAS Nimashine zinazotumia gharama ndogo sana katika uzalishaji wa vifaranga. Gharama ya matumizi kwa mwezi ni Tshs 17,000 au 20,000 Kutokana na sehemu utakapo nunua mtungi wa...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Natafuta kontena moja la futi 20, lifike Mbezi beach A. Bei gani? Usafiri bei gani? Bajeti yangu lakini 2M TSh. NB: liwe zuri, kamili na makaratasi yake. Asante. Jibu hapa, au tupigie: +255...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nahitaji Malory aina ya semitrailer tipper ya kupakia clinker kutoka tanga kuja dar mwenye nayo aje pm tuongee biashara Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
879 Views
Mnajimu na mtabiri maarufu Afrika mashariki Hussein yahya ametabiri mafanikio kwa Jpm mwaka huu na kusema atapata tuzo Kubwa duniani kwa Kazi anayoifanyia nchi ya kusadikika na ameenda mbali zaidi...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Nahitaji kiwanja kilichopimwa au kilicho maeneo ya makazi dodoma mjini. Nina 1 milion. Asa asa maeneo ya nzuguni, nkuhungu au popote ila isiwe mbali na mjini. Ila nataka sana kilicho pimwa. Kama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Scholarships to study in china, for bachelors, masters and phd are available . All majors form arts majors, business to science majors. For more info contact Thejosec@qq.com or +8613761325614
1 Reactions
8 Replies
875 Views
Nahitaji tanki la maji lililotumika la lita 2000. Aina iwe ya Simtank na tafadhali naomba liwe zima na lisilovuja wala kutoboka na bei yangu ni 180,000. Kama unalo basi naomba unipm namba yako...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nauza simu aina ya honor kutoka Japan yenye vigezo vifuatavyo kwa bei ya sh 380k RAM:3GB INTERNAL STORAGE:32GB CAMERA:13MGPX Kwa mawasiliano zaidi nicheki kupitia 0659437127
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom