RuwaIkunda
Senior Member
- Nov 2, 2017
- 156
- 278
Habari!! Natafuta Airtel UNI vocha za usiku zile za wanafunzi wa chuo kama hiii hapa aliye nazo au anajua nani anazo naomba kupata kujua. Mfano wa hizo vocha nimeambatanisha chini hapo[emoji1313]
Asante!!