Single room inahitajika!

Single room inahitajika!

swank

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
748
Reaction score
1,043
Preferably kinondoni!
Umeme
Maji
Wapangaji wasiwe wengi!

Nikipata bila dalali itapendeza zaidi!
 
Preferably kinondoni!
Umeme
Maji
Wapangaji wasiwe wengi!

Nikipata bila dalali itapendeza zaidi!
Mungu atusaidie uvumilivu na subira Madalali, -Ameen.

Hivi kweli 'single room ' na mkwara wapangaji wasiwe wengi.
Kweli?

Na ukiulizwa ofa hukawii kusema Laki moja.
 
Mungu atusaidie uvumilivu na subira Madalali, -Ameen.

Hivi kweli 'single room ' na mkwara wapangaji wasiwe wengi.
Kweli?

Na ukiulizwa ofa hukawii kusema Laki moja.
Ko laki moja unaiona ndogo? Hiyo laki kwa kodi ya miezi 6 si laki 6 ukijumlisha na hyo kodi ya mwezi mnayoitaka??

Mpaka mtu kasema ivo labda mfuko wake hana uwezo wa kumlipa dalali??
 
Njoo huku pande za kwetu wewee unajbebea chumba sebule choo jiko luku yako kwa 120
 
Dsm chumba bla dalali
Wala n ngumu kupewa
Room otherwise uwe unajuana
na wenye nyumba
 
Dsm chumba bla dalali
Wala n ngumu kupewa
Room otherwise uwe unajuana
na wenye nyumba
Sijasema dalali hahitajiki, nimesema itapendeza zaidi!

Ko kama yupo haina shida, watu wanashindwa tuu kuelewa kilichoandikwa wanasoma juujuu
 
Sijasema dalali hahitajiki, nimesema itapendeza zaidi!

Ko kama yupo haina shida, watu wanashindwa tuu kuelewa kilichoandikwa wanasoma juujuu
Sawa ngoja nisome vzr
 
Ko laki moja unaiona ndogo? Hiyo laki kwa kodi ya miezi 6 si laki 6 ukijumlisha na hyo kodi ya mwezi mnayoitaka??

Mpaka mtu kasema ivo labda mfuko wake hana uwezo wa kumlipa dalali??
Sina kawaida ya kudharau Pesa,
Vipo vyumba hadi vya 50.
Shida ni hayo masharti ,
Unataka chumba kimoja lakini nyumba isiwe na wapangaji wengi?
Hapa ndipo panapoleta 'ukakasi'.
 
Sina kawaida ya kudharau Pesa,
Vipo vyumba hadi vya 50.
Shida ni hayo masharti ,
Unataka chumba kimoja lakini nyumba isiwe na wapangaji wengi?
Hapa ndipo panapoleta 'ukakasi'.
Aaah ayaa
Sikujua km hilo lashtusha hivyo,

Nashukuru kwa kunihabarisha
 
Chumba kimoja single maeneo ya sinza,bamaga,mwenge kizuri kinahitajika kisizidi elf 60
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom