Nafkiri lile wenge la forex limeisha jinsi ilivyokuja masikioni kwa watu na matarajio yaliyokwa kabla na ukweli uliopo na uliokutwa juu ya forex baada ya kuingia. Basi kwa kuwa ukweli umejulikana...
Nahitaji mkopo wa riba nafuu.tunaandikishiana kila mwezi nakulipa.mkopo+riba igawanywe kwa mwaka mmoja.nina kibarua changu hapa dar.kwa utashi zaidi karibu inbox
Jina:Dell latitude D40 RAM:2GB, processor:Intel duo core. Window:7 ultimate
HDD GB 55.5
Processor speed ni @1.20GHZ
Battery yake haifanyi kazi inatumia charger
Picha ya Laptop
Simu...
Tunachora ramani za nyumba aina zote.
Tunatoa ushauri wa ujenzi nk.
Pia tutakupa gharama zote za ujenzi wa nyumba yako.
karibu sana.
0654919121
0658919121
Kiwanja kipo kwenye process za kupewa hati,gharama za awali za upimaji zimeishafanyika,kwa 15M tu..nicheki 0714 345 432/0685 779 278..ni msumi 'C' Ni tambalale,kina miembe na kipo karibu barabara...
Natafuta kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa kanisa
Ukubwa kuanzia 30 ×30
Bei isizidi milioni 9
Eneo liwe ambalo halijapimwa lakini kuwepo na makazi
Liwe Dar es salaam au Kibaha.
Ukiwa nacho piga...
Nauza website yangu kwa bei poa kabisa tsh 40,000
Siwezi kuweka link humu kwa sababu jf hawaruhu
Kama una hitaji nicheki WhatsApp
Na nitakupa link uione mwenyewe
0766283352
Nahitaji samsung galaxy note 8 second hand iliyo refurbished/renovated/decorated( i mean yenye muonekano mzuri).
Kwa anayeuza au anayeweza nisaidia wapi nitaipata(ntampa hela ya usumbufu) pamoja...
JIFUNZE KINGEREZA KWA KISWAHILI kwa sh.10000 tu kwa mwezi.
Anza masomo nami mwezi huu 2018.wa pili kwa gharama nafuu kabisa,
Masomo ni asubuh+usiku kila siku.
Groups za practise, jifunze...
Ukiwa Dar es Salaam maduka ya mchele huwa yanajinadi kwa mbwembwe MCHELE SAFI KUTOKA MBEYA
Ukishafika Mbeya unakutana na maduka ya mchele yakijinadi
PATA MCHELE SAFI KUTOKA KYELA
Ukifika...
Nimelima Mihogo aina ya kiroba Eka tatu bagamoyo, na sasa iko tayari Kwa ajili ya kuvunwa, Naomba msaada Kwa anayejua Soko zuri la Mihogo ningependa kuuza Kwa jumla.