Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

kwa mahitaji ya bima za afya kwa ajili ya kampun, familia, vikundi na mtu binafsi
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jipatie kitenge kwa bei nzuri ya 30,000/= tu. Dsm unaletewa ulipo malipo cash mzigo ukifika. Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa. Call/Text/WhatsApp[emoji116] 0629-226770
1 Reactions
110 Replies
28K Views
Jina:Dell latitude D40 RAM:2GB, processor:Intel duo core. Window:7 ultimate HDD GB 55.5 Processor speed ni @1.20GHZ Battery yake haifanyi kazi inatumia charger Picha ya Laptop Simu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Tunachora ramani za nyumba aina zote. Tunatoa ushauri wa ujenzi nk. Pia tutakupa gharama zote za ujenzi wa nyumba yako. karibu sana. 0654919121 0658919121
0 Reactions
3 Replies
735 Views
Shamba linapatikana eneo la nyamwilolelwa njia ya kwenda buswelu na lina ukubwa wa ekari moja.bei milioni 2 maongezi yapo. Mawasiliano +255765540059
0 Reactions
1 Replies
753 Views
Kiwanja kipo kwenye process za kupewa hati,gharama za awali za upimaji zimeishafanyika,kwa 15M tu..nicheki 0714 345 432/0685 779 278..ni msumi 'C' Ni tambalale,kina miembe na kipo karibu barabara...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Natafuta kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa kanisa Ukubwa kuanzia 30 ×30 Bei isizidi milioni 9 Eneo liwe ambalo halijapimwa lakini kuwepo na makazi Liwe Dar es salaam au Kibaha. Ukiwa nacho piga...
0 Reactions
0 Replies
783 Views
  • Closed
Brand name; Huawei G510 color; Black Used 4 months location; Tabata DSM Contact; 0754669580 Price; 100,000 Negotiable; Yes Any serious buyer call/text 0754669580
0 Reactions
0 Replies
640 Views
Nauza website yangu kwa bei poa kabisa tsh 40,000 Siwezi kuweka link humu kwa sababu jf hawaruhu Kama una hitaji nicheki WhatsApp Na nitakupa link uione mwenyewe 0766283352
0 Reactions
4 Replies
811 Views
Nahitaji samsung galaxy note 8 second hand iliyo refurbished/renovated/decorated( i mean yenye muonekano mzuri). Kwa anayeuza au anayeweza nisaidia wapi nitaipata(ntampa hela ya usumbufu) pamoja...
1 Reactions
3 Replies
825 Views
WanaJF,nahitaji S8 plus kwa 1.1milion au Note 8 kwa 1.6milioni original samsung product mwenye nayo tuwasiliane inbox.
1 Reactions
1 Replies
731 Views
Natafuta laini ya tigopesa kwa yeyote mwenye nayo anicheki kwa 0715030532
0 Reactions
0 Replies
607 Views
Habari za kazi, pole na majukumu, Kwa mwenye laini ya uwakala ya Tigo pesa anaeiuza anicheki kwa namba 0715030532 location Tanga.
0 Reactions
0 Replies
584 Views
Natuma keki mahali popote kwa makubaliano
2 Reactions
5 Replies
3K Views
JIFUNZE KINGEREZA KWA KISWAHILI kwa sh.10000 tu kwa mwezi. Anza masomo nami mwezi huu 2018.wa pili kwa gharama nafuu kabisa, Masomo ni asubuh+usiku kila siku. Groups za practise, jifunze...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Ukiwa Dar es Salaam maduka ya mchele huwa yanajinadi kwa mbwembwe MCHELE SAFI KUTOKA MBEYA Ukishafika Mbeya unakutana na maduka ya mchele yakijinadi PATA MCHELE SAFI KUTOKA KYELA Ukifika...
3 Reactions
7 Replies
4K Views
Nimelima Mihogo aina ya kiroba Eka tatu bagamoyo, na sasa iko tayari Kwa ajili ya kuvunwa, Naomba msaada Kwa anayejua Soko zuri la Mihogo ningependa kuuza Kwa jumla.
1 Reactions
10 Replies
7K Views
Heshima kwenu wakuu. Nahitaji Shamba mkoani Morogoro, kwaajiri ya kulima Mahindi na maharage, nahitaji la kukodi. Ningetamani kama Shamba lingekuwa karibu na MTO ili mvua zikikata nimwagilie...
1 Reactions
1 Replies
945 Views
Tafadhali mwenye kufahamu wapi nitapata aina ya simu niliyoitaja hapo juu kwa hapa Tanzania. Iwe mpya, ya toleo la karibuni. Asante.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ps3 250gb storage with 5 Games inside, 2 pads and full accessories For Sale Tsh. 350,000 Maelewano yapo. Nicheki Whatsapp Tu kwa 0625612638 au 0677888412
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom