Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tuna husika na ujenzi wa chuma,hivyo kwa yeyote mwenye kuhitaji fundi mwenye utaalamu na uzoefu na ujuzi tutafute tukujengee (steelfixer) kwa RAMAN yoyote na popote nchini Tanzania. Piga namba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
P. O. Box 1880, Morogoro Tel: +255 758 303 090,+255 684 210 277 Email: swahiliwaterworks@gmail.com Website:www.swahiliwaterworks.wix.com TIN: 121-299-046 MATUMIZIYA SUPER GRO MASHAMBANISupergroni...
1 Reactions
12 Replies
13K Views
Pata hosting space kwa ajili ya website yako kwa gharama nafuu kabisa ya kuanzia sh 36000 kwa mwaka mzima. Weka order yako sasa Email: info@grouprinc.com Phone: 0742878443
0 Reactions
0 Replies
697 Views
*SHAMBA..SHAMBA..SHAMBA* Shamba/Liko kwenye makazi ya watu heka 4..kiko bagamoyo maeneo ya Kilomo...ukiwa unaenda bagamoyo mjini kutokea Mwenge unashuka kituo cha kilomo..mkono huo wakushoto km3...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tafadhali mwenye kioo cha tecno phantom z ( Tecno A7) anijulishe hapa tafadhali. Ni Muhimu sana.
0 Reactions
2 Replies
800 Views
Habari ya muda huu.. Nahitaji kupata sehemu ya kuishi Mwanza mjini kwa muda wa mwezi mmoja mpaka mwezi mmoja na nusu kwa ajili ya kazi fulani inayonipeleka huko. Sio mwenyeji sana wa mji wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Husikeni hapo juu kama una kontena wasiliana nami kwa 0738579574.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Price: 500,000/= Washing Programmes: 5 Wash Load: 6.0 Kg Type of Washing Machine: Fully Automatic Control Type: Silver Nano Display Type: Digital display Loading Type: Top Loading Contact...
1 Reactions
101 Replies
22K Views
Natafuta chumba na sebule vya kupanga maeneo ya kimara,isiwe mbali sana na barabara . Self, tiles,maji, umeme wa kujitegemea,ikiwa kwenye fence itapendeza zaidi,
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kichwa cha habari chajieleza, Kuna nyumba imeishia kwenye lenta inauzwa sh. Milioni 18.5 kiwanja kina ukubwa Wa upana mita 15 na urefu 19. Nyumba ipo kigamboni. Picha yajieleza hapo kwa undani...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ndg zangu nina uhitaji wa mfanyakazi wa ndani sana sana..nipo serious katika hili kwani kwa sasa katika familia yangu kuna majukumu machache yametuelemea mimi na mke wangu hivyo akiwepo mfanyakazi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tunahitaji kampuni inayotengeneza box kwa ajili ya ku pack matunda Mbali mbali kwa ajili ya kusafirisha kwenda sokoni,nifanye in box kwa mawasiliano
0 Reactions
0 Replies
674 Views
Nyumba ipo maeneo ya Chamwino mwishoni karibu na Modeko. Ina vyumba 11 kwa ajili ya kupangisha. Ina hati na kiwanja kimepimwa, maji na umeme vipo na havikatiki 24hrs maana line yake inatumia...
2 Reactions
44 Replies
7K Views
Pikipiki inauzwa Location: mwanza Aina: sunlg 125 Bei : 1M Nipm kwa maelezo zaid.
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Tunanunua vitabu vya zamani. 1. Viwe kwa lugha ya kiingereza vilivyochapishwa Marekani au Uingereza miaka ya 1970 kurudi nyuma. 2. Viwe ni toleo la kwanza (first edition) 2. Visiwe vitabu vya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu Naomba mwenye app ya tv za nyumbani Hasa SUA tv, atn, fire TV, Natanguliza shukurani.
0 Reactions
0 Replies
684 Views
uyo jama shenzi type kweli kaingilia love life ya boss wake Diamond .. kabla ata hajafukuzwa rasmi ...kakimbilia instagram kuwadanganya watu eti ameacha kazi ... kwani kuachishwa kazi si kawaida...
0 Reactions
1 Replies
553 Views
Habari wakuu! Nina tangawizi takribani tani 50 na itakuwa tayari kufikia mwezi wa tano ni wapi naweza kupata soko zuri?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nauza viwanja @meter 50 urefu upana 25 (square meters 1250) bei Tshs 500,000 ( laki tano) Viwanja vipo Eneo la Makurunge- Bagamoyo unaingia km 15 kutoka barabara kuu ( Bagamoyo- Msata) na njia ya...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
  • Closed
Poleni kwa majukumu ndugu zangu, ninauza shamba langu ukubwa wa heka 1.5 kwa Tsh. 2,500,000/= Shamba liko Bomang'ombe karibu na kituo cha Kwa kiliwe kama unaelekea Moshi, shamba ni langu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom