Wakuu bila shaka mko poa!
Natafuta gari ya kununua kwa ajili ya tour za mbugani!(Jeep,Land rover)
Iwe na hali nzuri,inaweza kwenda mbuga yoyote ile bila matatizo.
Iwe na mwonekano mzuri nje na...
habari zenu wadau,
Kama kichwa cha habari kinavyosema,
Ni used ila ipo katika hali nzuri (good condition). haina tatizo lolote.
Sifa zake
Ina play video cd na ipo cable yake za kuunganisha...
Karibu ujifunze kuhusu biashara za coin za kiditali
kutrading coin
Nunua coin kwa bei ya chini
Na uza kwa bei ya juu .
Signal za bure pia zipo kila siku unapata signa ya bure moja
Andika...
Natafuta gari ndogo used such as GX100,VITZ etc ya kufanyia kazi za ofisini kama kwenda bank,ktk ofisi za makampuni,na mizunguko ya katikati ya mjini hapa Morogoro town,Itatumiwa na Accountant...
Habari wanajukwaa. Kama thread ilivyo hapo juu. Mimi ni kijana wa miaka 25 ni muhanga wa elimu ya vitabuni ambayo iko kinadharia zaidi kuliko vitendo naamini wote mnaelewa mfumo wa elimu yetu ya...
Salaam wakuu..!
poleni na majukumu ya kazi, samahani naomba kujua gharama za kutengeneza/kutengenezewa accounting software kwa ajili oganizesheni ni shilingi ngapi..?
Nina oganizisheni yangu...
Tunauza vifungashio vya plastic vilivyo bora kabisa na kwa bei nafuu.
Vifungashio tulivyonavyo kwa kiitaalamu vinaitwa plastic zip bag.
Vipo vya ujazo tofauti kama inavyoonekana hapo chini na bei...
Eyeson properties ni kampuni ambayo inajihusisha na maswala ya ujenzi bora wa Nyumba
Kama vile
Nyumba za makazi
Nyumba za biashara
Godowns
Gorofa
Ujenzi wetu unazingatia ubora wa materials...
Altcoin ni coin zingne tofauti na btc, yaan sarafu ndogo ndogo au nyingne tofauti na btc
Coin ni sarafu yaweza kuwa alts au btc...maana zote zinaitwa coin
Image ya btc ni sarafu lakin...
Kama unataka kufanya haya yote kwa vitendo
Tuko tayar kukuongoza kufikia malengo uliyoyawaza leo kichwani kwako....
Bure utawekwa kwenye grp la mafunzo juu ya analysisy, ICO, jins ya kuwa...
How to analyse a particular coin...
Soma trend ya buying na selling,
Angalia investors waliopo yaan kwenye website ya coin husika
Angalia kupanda na kushuka katika market cap
Angalia volume...
What is 1CO
Ni innitial coin offering , ikiwa na maana ni mwanzo wa coin husika ili kuwekwa kwenye market, wakt coin haijaingzwa kwa exchanger husika!! Huwa inaundergo som prossess
Hivyo hutoa...
Nafkiri lile wenge la forex limeisha jinsi ilivyokuja masikioni kwa watu na matarajio yaliyokwa kabla na ukweli uliopo na uliokutwa juu ya forex baada ya kuingia. Basi kwa kuwa ukweli umejulikana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.