Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari zenu wana jamii forum nauza kiwanja changu kitonga mbande being nafuu sana, kwa mawasiliano piga 0719 252523
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Kwa anaehitaj mkopo wa pesa tunakoposha sharti ni kadi na gar na huo mkopo riba asilimia 30.
0 Reactions
51 Replies
7K Views
Habari,hii laptop bado mpya na nzuri nyembamba,inakaa na chaji 7hrs processor intelceleron Graphics intel hd graphics Ram 2gb Storage 32gb 0752157884 price 350000 location kagera
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nauza TV inch 24 mtumba kutoka ulaya. Bei 250,000 Aina toshiba , standard , sony 0658 644 375 L
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Acer laptop 2GB,Hdd 500 , memory 128 with charger Tsh 450,000:00 Sony Experia ax1 unlocked brand new Tsh 450,000:00 , Sony experia L1 tsh 350,000,00 , IPhone 5 unlocked Tsh 375,000:00 Piga simu...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Hello! Habari Kama una ndoto ya kujenga au kuwekeza chukua hatua ya kununua na kumiliki ardhi maana ndiyo hatua ya kwanza na msingi bora kabla ya mambo mengine yote. Nunua na kumiliki kiwanja...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habar wakuu; kwa wenye uhitaji wa submersible water pumps complete set +motor ( zimetumika chini ya mwaka Mmoja) kulingana n.a. sifa orodheshwa hapa chini *Manufacture - Leo, 7.5kw , discharge...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu. Natafuta mtaalamu mwenye uzoefu wa kuandaa proposal kwaajili ya miradi mbalimbali ya kusaidia jamii. Kwa yeyote mwenye uzoefu naomba tuwasiliane. Asanteni wanajamvi.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Salaam wadau..ninauza pikipiki aina ya Honda 110 ya japan orijino.Iko vizuri kabisa.Bei 1.8m maongezi yapo.Karibuni.Kwa mawasiliano 0689900000
1 Reactions
30 Replies
16K Views
NAUZA CM YANGU TEKNO K9 INAMIEZI 6 TANGIYA NI NUNUWE BEI 250,000 MAHALI ILIPO DODOMA MAWASILIANO 0715-555209
0 Reactions
1 Replies
789 Views
kampun ya kitanzania Msallamo Agro Envi ltd wanaojishughulisha na technolojia mbalimbal za maisha ambazo ni rafiki kwa mazingira,tunawatangazia tena kuwa tunauza digesters ambazo ni mbadala wa...
5 Reactions
43 Replies
11K Views
mimi ni mkazi wa dar es salaam kigamboni. tafadhali kwa anayejua watu au kampuni au shirika linalotoa mafunzo ya ujasiriamali kama kutengeneza tomato sauce, crips, sabuni ya unga na ya kipande na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Closed
Amani kwenu wadau, Nauza tv flat aina ya star x '22, bado mpya na makaratasi yake. Imetumika miezi 2 tuu. Box, remote na cable zake zote vipo. Any serious buyer call/text 0754669580 price...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nahitaji kuku wa kienyeji mmoja tu anayetaga. Sio chotara. NB: Awe anaendelea kutaga maana nataka. Kama unaye sema hapa nikutafute, nipo Dar.
0 Reactions
0 Replies
976 Views
Habari ndugu, Kichwa cha habari kinajieleza, nyumba ipo kwenye lenta inauzwa milioni 18.5 ipo kigamboni. Eneo lenye nyumba lina ukubwa Wa upana mita 15 na urefu mita 19. Nimeambatanisha na picha...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Sony Xperia Ax1 mpya kwenye box, unlocked, price tsh 450000"phone 0712652110
0 Reactions
0 Replies
428 Views
wadau natafuta wadau wenzangu waliomaliza kidato cha nne Mwaka 1983 Hapo Shaaban Robert Secondary plz wanicheck in box
1 Reactions
11 Replies
728 Views
Mimi nina hekari 3 maeneo ya bagamoyo mwavi na nimelima mahindi sema sina uzoefu wa masaki. Naomba ushauri kuhusu soko lake
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nauza viwanja bei poa, vipo eneo panaitwa Nyanguge, ni km 30 kutoka katikakati ya jiji la Mwanza(dakika 20-25) eneo linafaa kwa ujenzi/ufugaji, mita 110, kutoka barabara kuu ya Mwanza-Musoma, cha...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Habari wanajamvi, mi ninauza mashine ya selcom, ni mpya kabisa, sababu ya kuiuza ni kurudisha pesa yangu maana eneo nililopo hakuna mzunguko wa watu wengi, mashine ni mpya kabisa mwenye laki sita...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…